Wapenzi wa JUKE BOX tukutane hapa

Hii ngoma 'Night shift' aliitunga na kuimba msanii mmoja anaitwa Marvin Gaye ambaye pia aliimba 'Sexual healing' baadaye wakatengeneza kundi la wanamuziki wakajiita The Commodores' huo wimbo wakaurudia tena.

Hata siku ya mazishi yake The Commodores waliupiga tena huu wimbo kwa heshima yake ktk kundi.
Night Shift haujaandikwa na Marvin Gaye na wala hajawahi kuwa member wa The Commodores.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom