Anyway nianze hivi, muziki wa sasa bila kujali ni wa mtoni au bongo its almost km umepoteza ile flava yake.
Kwa upande wa muziki wa mtoni at least wenyewe stil unaishi na ndio maana hadi ss tunaweza kusikiliza nyimbo za 2000's, 90's 80's, na hata 70's. Ukweli ni kwamba baadhi ya pini za miaka hiyo ni kali na zuri zaidi can bring a lot of memories.
Mimi naweza kusema ni muhenga kwenye hizi nyimbo ingawa nyingine zimenizidi kbs umri but yet nazikubali sn na najua ku-swing kiaina, inapotokea nahitaji kwenda sehemu ambayo nitakonga moyo wangu basi huwa najongea The Alcade East 24 kwa peter mo-Mikocheni au Club Legends kwa John Dillinga ambao wote ni wakali sana wa hizi mambo.
wakongwe wachache ambao wakubali ni kama
Gerald Levert (RIP)
Surface,
Shalamar,
New Edition,
Nu shooz
James Ingram
Mark morison
Mc Hammer
Chaka Khan
Calyn white
Ice Mc
Johny gill (Solo)
Bobby Brown (Solo)
Soul for real
Jackson 5
hawa ni wachache hasa kwa 80's ambao nyimbo zao nyingi zimekuwa copied na kufanywa upya new skul ambazo zonabamba kwa ss!
Kwa upande wa 90's wapo
Kevon Edmonds
usher Raymond
Ashanti
Ashley ballad
Tyrese
Mary J
Vyette chelle
Monica Anorld
Brandy
Non challant
Luniz
Nate Doggy
Warren G
Fox brown
Lil kim
Hao ni wachache.....
Kesho ntaanza kuwawekea track zao tuwaonye kwa taste za kazi zao.
[HASHTAG]#iloveoldies[/HASHTAG]