Wapenzi wa JUKE BOX tukutane hapa

Always - James Inglam
Cassanova - Levvert
Cool it now - New edition
Point off no return -
Roses are red -
Who is that girl - madonna
Get down on it - Cool n the gang
Illusion -

...ngoja niendelee kukumbuka chief,
ngoja nikusaidie kidogo chief
noel silent moring
ive thinking abt u london beat
ilusiom imagnation

yan chief nnazo nying hzo nyimbo n hatar
 
Coco jambo-Mr President
Strike it up-Black box
Kaoma-Lambada
What is love-Haddaway
Everybody everybody-Black box
.....zipo nyingi sana,....hayo ndo mambo yangu,....huwa nakumbuka mengi sana nikisikiliza hiz nyimbo,...marafiki,shule,wapenzi Wa zama za utotoni nk.
Watoto hawa Wa cku hiz Wa bongo fleva hapa lazima tuwaache,...hizi mambo za wahenga
 
Wakuu mko powa...

Mim ni mpenzi wa yale mangoma ya enzi hizooo,,

Makundi kama The Temptations, Cool & the gang basi nikisikia vibao kama

Treat her like a lady, dady cool, don't let it till get enough, na vingi vya miondoko hyo,

Kipindi hiko EATV nilikua sibanduki.

Papa was a rolling stone.

Njooni jaman wahenga kama mimi.

Cc BAK , Pascal Mayalla
wakumbusheni hawa new skul vitu vya old skul!
 
Anyway nianze hivi, muziki wa sasa bila kujali ni wa mtoni au bongo its almost km umepoteza ile flava yake.

Kwa upande wa muziki wa mtoni at least wenyewe stil unaishi na ndio maana hadi ss tunaweza kusikiliza nyimbo za 2000's, 90's 80's, na hata 70's. Ukweli ni kwamba baadhi ya pini za miaka hiyo ni kali na zuri zaidi can bring a lot of memories.

Mimi naweza kusema ni muhenga kwenye hizi nyimbo ingawa nyingine zimenizidi kbs umri but yet nazikubali sn na najua ku-swing kiaina, inapotokea nahitaji kwenda sehemu ambayo nitakonga moyo wangu basi huwa najongea The Alcade East 24 kwa peter mo-Mikocheni au Club Legends kwa John Dillinga ambao wote ni wakali sana wa hizi mambo.

wakongwe wachache ambao wakubali ni kama
Gerald Levert (RIP)
Surface,
Shalamar,
New Edition,
Nu shooz
James Ingram
Mark morison
Mc Hammer
Chaka Khan
Calyn white
Ice Mc
Johny gill (Solo)
Bobby Brown (Solo)
Soul for real
Jackson 5
hawa ni wachache hasa kwa 80's ambao nyimbo zao nyingi zimekuwa copied na kufanywa upya new skul ambazo zonabamba kwa ss!

Kwa upande wa 90's wapo
Kevon Edmonds
usher Raymond
Ashanti
Ashley ballad
Tyrese
Mary J
Vyette chelle
Monica Anorld
Brandy
Non challant
Luniz
Nate Doggy
Warren G
Fox brown
Lil kim
Hao ni wachache.....

Kesho ntaanza kuwawekea track zao tuwaonye kwa taste za kazi zao.

[HASHTAG]#iloveoldies[/HASHTAG]
 
Umenikumbusha mbaaali Sana Nakumbuka enzi zile get down on it.. Ilikua ikipigwa una Afro yako Safi USINIKUMBUSHE aisee Daaah picha inanijia ya Mikocheni ilee ya Miaka ya 90's
marehemu mshua alikua anaicheza akinywa yani mama angu ukitaka kumliza piga nyimbo za kina cool and the gang
 
Coco jambo-Mr President
Strike it up-Black box
Kaoma-Lambada
What is love-Haddaway
Everybody everybody-Black box
.....zipo nyingi sana,....hayo ndo mambo yangu,....huwa nakumbuka mengi sana nikisikiliza hiz nyimbo,...marafiki,shule,wapenzi Wa zama za utotoni nk.
Watoto hawa Wa cku hiz Wa bongo fleva hapa lazima tuwaache,...hizi mambo za wahenga
acha tu, mm zinanikumbusha enzi izo tunatoka school tunaenda kuzurula mitaa ya mwenge, itv na knyama...

jmosi asubuh saa nne tunakuwaga viwanja vya UDSM knyama mazoez ya tennis!
....hapo nmeiba kaseti za mzee na walk-man yake na headphones, midundo tu...
 
Anyway nianze hivi, muziki wa sasa bila kujali ni wa mtoni au bongo its almost km umepoteza ile flava yake.

Kwa upande wa muziki wa mtoni at least wenyewe stil unaishi na ndio maana hadi ss tunaweza kusikiliza nyimbo za 2000's, 90's 80's, na hata 70's. Ukweli ni kwamba baadhi ya pini za miaka hiyo ni kali na zuri zaidi can bring a lot of memories.

Mimi naweza kusema ni muhenga kwenye hizi nyimbo ingawa nyingine zimenizidi kbs umri but yet nazikubali sn na najua ku-swing kiaina, inapotokea nahitaji kwenda sehemu ambayo nitakonga moyo wangu basi huwa najongea The Alcade East 24 kwa peter mo-Mikocheni au Club Legends kwa John Dillinga ambao wote ni wakali sana wa hizi mambo.

wakongwe wachache ambao wakubali ni kama
Gerald Levert (RIP)
Surface,
Shalamar,
New Edition,
Nu shooz
James Ingram
Mark morison
Mc Hammer
Chaka Khan
Calyn white
Ice Mc
Johny gill (Solo)
Bobby Brown (Solo)
Soul for real
Jackson 5
hawa ni wachache hasa kwa 80's ambao nyimbo zao nyingi zimekuwa copied na kufanywa upya new skul ambazo zonabamba kwa ss!

Kwa upande wa 90's wapo
Kevon Edmonds
usher Raymond
Ashanti
Ashley ballad
Tyrese
Mary J
Vyette chelle
Monica Anorld
Brandy
Non challant
Luniz
Nate Doggy
Warren G
Fox brown
Lil kim
Hao ni wachache.....

Kesho ntaanza kuwawekea track zao tuwaonye kwa taste za kazi zao.

[HASHTAG]#iloveoldies[/HASHTAG]
Kumbe Levert alishakufa....aisee!
jamaa kwenye Cassanova amefanya vizuri sanaaa

tuwekee track hizo chief
 
ngoja nikusaidie kidogo chief
noel silent moring
ive thinking abt u london beat
ilusiom imagnation

yan chief nnazo nying hzo nyimbo n hatar
Karibu shea na sisi chief,
nyimbo hizi zinanipaga mood flani ambayo inanifanya nimiss sana home...

Kwa Dar nilibahatika kukutana na *Kitenge* aliekuwa host wa juke box eatv pale Mbalamwezi beach club....jamaa kapoa sana sijui ni kwann, natamani arudi tena eatv.

Mbalamwezi walikuwa wanapiga oldies kila alhamis jioni....sijui kama bado wanaendeleaa!

I miss those feelings aiseee!

OLD IS EVER GOLD
 
Coco jambo-Mr President
Strike it up-Black box
Kaoma-Lambada
What is love-Haddaway
Everybody everybody-Black box
.....zipo nyingi sana,....hayo ndo mambo yangu,....huwa nakumbuka mengi sana nikisikiliza hiz nyimbo,...marafiki,shule,wapenzi Wa zama za utotoni nk.
Watoto hawa Wa cku hiz Wa bongo fleva hapa lazima tuwaache,...hizi mambo za wahenga
Ride on time - Black box
Girl i'm gonna miss you - Nilli Vanilli
Careless Whisper - George Michael (R.I.P)
Who is that girl - Nu shooz
Candy girl - New edition
Time after time - Cyndi Lauper
 
Old is gold
 
Attachments

  • Billy Ocean - Caribbean Queen Free Online Music.mp3
    3.4 MB · Views: 43
  • Always.mp3
    5.9 MB · Views: 41
Ride on time - Black box
Girl i'm gonna miss you - Nilli Vanilli
Careless Whisper - George Michael (R.I.P)
Who is that girl - Nu shooz
Candy girl - New edition
Time after time - Cyndi Lauper

Asante sana mkuu kwa list, nimedownload zote. Naomba uendelee kutupia nyingine
Nazikubali sana hizi tatizo nilikua sijiu jina la wimbo wala muimbaji
 
Anyway nianze hivi, muziki wa sasa bila kujali ni wa mtoni au bongo its almost km umepoteza ile flava yake.

Kwa upande wa muziki wa mtoni at least wenyewe stil unaishi na ndio maana hadi ss tunaweza kusikiliza nyimbo za 2000's, 90's 80's, na hata 70's. Ukweli ni kwamba baadhi ya pini za miaka hiyo ni kali na zuri zaidi can bring a lot of memories.

Mimi naweza kusema ni muhenga kwenye hizi nyimbo ingawa nyingine zimenizidi kbs umri but yet nazikubali sn na najua ku-swing kiaina, inapotokea nahitaji kwenda sehemu ambayo nitakonga moyo wangu basi huwa najongea The Alcade East 24 kwa peter mo-Mikocheni au Club Legends kwa John Dillinga ambao wote ni wakali sana wa hizi mambo.

wakongwe wachache ambao wakubali ni kama
Gerald Levert (RIP)
Surface,
Shalamar,
New Edition,
Nu shooz
James Ingram
Mark morison
Mc Hammer
Chaka Khan
Calyn white
Ice Mc
Johny gill (Solo)
Bobby Brown (Solo)
Soul for real
Jackson 5
hawa ni wachache hasa kwa 80's ambao nyimbo zao nyingi zimekuwa copied na kufanywa upya new skul ambazo zonabamba kwa ss!

Kwa upande wa 90's wapo
Kevon Edmonds
usher Raymond
Ashanti
Ashley ballad
Tyrese
Mary J
Vyette chelle
Monica Anorld
Brandy
Non challant
Luniz
Nate Doggy
Warren G
Fox brown
Lil kim
Hao ni wachache.....

Kesho ntaanza kuwawekea track zao tuwaonye kwa taste za kazi zao.

[HASHTAG]#iloveoldies[/HASHTAG]

Nasubiri uweke track mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom