Wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye hasira sana kwa sasa

Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA. Kwa maoni yangu binafsi kwasasa hapa nchini wafuasi na wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye Hasira kali zaidi.

Watu hawa wamegawanyika sehemu mbili

1: Tabaka la Uongozi wa CHADEMA. Viongozi wa hiki chama ni watu wenye Hasira kali Sana, Chuki, husuda, visasi

Ukisikiliza hotuba zao utagundua hilo. Ni watu wenye kutamka maneno makali yenye kubeba hisia nzito kutoka mioyoni mwao ambazo wanatamani watanzania wote wawe nazo. Vyama pinzani vyote vingine wanataka viunge mkono CHADEMA kwa chochote kile watacho sema kinyume na hapo basi ni mamluki wa CCM.

Ikitokea siku moja Tanzania kila mtaa unawaka moto, huku watoto wakibakwa kikatili, kuuawa na vilio kila Kona basi siku hiyo kwao itakuwa ni sherehe kubwa sana.

2: Wafuasi na chama, wapenzi na wakeleketwa. Hawa nao ni watu wenye Hasira kali sana, ni watu wenye maneno makali yenye lengo la kuudhi hata pasipo sababu kabisa.

Mfano Mzuri ni hapa jukwaani ole wako ukianzisha mada isiyo sifu CHADEMA tena bahati mbaya iwe na hoja ngumu kujibika zenye ukweli kuhusu chama chao, hapo ndipo hasira huwaka zaidi. Utakutana na kauli za ajabu Kama:

Mataga
Uza ubongo mana unakaa nao kwa hasara.
Lissu amewasika kunako
Huna akili
Pumba n.k

Wakiambiwa na viongozi wao kuhusu kuandamana kudai haki basi hapo hulipuka kwa shangwe kubwa sana wengine hudiliki kusema damu imwagike!

Muda huo wanakuwa wamesahau kuwa.

Yawezekana mumewe au mke ni wa chama kingine tofauti na yeye.

Mwanaye, mjomba, shangazi, boss wake ofisini, jirani yake, mpangaji mwenzake, mfanya biashara mwenzake, rafiki wa familia yake n.k ni watu wa vyama tofauti na yeye. Hajui kwamba akianza kumwaga hiyo damu itaanzia nyumbani kwake kumwagika.

Kwa kifupi hao ndio CHADEMA a.k.a watanzania wanao ishi kwa hofu kubwa sana kwa mujibu wa maneno yao ya mitandaoni.

Kwa mtu asiye ijua Tanzania au anaye ishi nje ya Tanzania akifuatilia kundi hili la CHADEMA wa mitandaoni anaweza kudhani nchi inawake moto.

Ukitaka kundi hili liwe na furaha sana na uitwe mwenye akili kubwa basi unatakiwa useme:

CHADEMA ndio chama bora Cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
Lissu ndio mwanasheria bora zaidi kuliko wote Tanzania.
Lissu ndio binadamu pekee mwenye akili nyingi kuwazidi watanzania wote.

Yote tisa kumi, tukana serikali kwa kadiri uwezavyo hapo utakuwa umewakonga nyoyo zao haswaa.
Wanachochewa
 
Where is Azory Gwanda, Where is Ben Saanane? Where is Mawazo, What can ou say about dead bodies in the nylon sacs at Coco Beach? (Maiti za sandarus coco beach) etc etc. Kwanini wasiwe na hasira?
Kuhusu Ben sanane kamuulize boss wako yakuwa: mbona Ben sanane alivyoonyesha tu nia ya kugombea kiti chako akapotea?

Najua ni ngumu kukupatia jibu halisi Ila jitahidi akupatie ili hasira yako ikuishe.
 
Mnafanya mambo ya kipuuzi halafu mnataka tuwachekee! Mimi siyo chadema, ila nina hasira kali sana na nyinyi CCM kwa kutonipandisha daraja tangu mwaka 2015, kisa eti mnanunua ndege!

Hiyo ndege mimi inanisaidia nini!
Wewe mwalimu wa memukwa tuliza mshono hizo ndege tunazonunua si kwa ajili yako tu Bali Taifa kwa ujumla kwahiyo Kama wewe umezoea kusafiri kwa baiskeli vitabu na vitendea kazi vyako vya shule tutavisafirisha kwa ndege as soon as possible.
 
Mwalimu Poyoyoo hata ajui Kama Ndege ni njia mojawapo ya Usafiri Kama vile Bodaboda anazopanda yeye wakati kuna wengine wanaishia kusafiri na Baiskeli zao,kila sehemu kuna Usafiri wake!! Mwisho watatukataza tusinunuwe hata Pantoni ili wapandishwe Mishahara!!
 
Anayeongoza kwa jazba ni jpm uliona alivyowakaripia wapiga kura wake au hujaona!

Walichonacho Chadema ni ile hali ya kuona nchi inachezewa na mambumbumbu yapo tu kushangilia, na mengine yanatunga kabisa na nyimbo kusifu na kuabudu, wanakatika tu ovyo majukwaani huko,wamefumba macho yao hawataki kuona, ni hasira ya kutaka kubadili brainwashing inayofanywa na ccm ilihali serikali ina wajibu SIYO “option” ya kutekeleza hayo yooooteee yanayoimbwa kuwayamefanywa na serikali ya ccm kama kwamba ni zawadi, hongo au favour tunafanyiwa.Kwa yeyote mwenye ufahamu ataipata [SUB]hiyo hali unayoiita hasira, kutamani kuwafumbua watu macho waone na hawataki inatia hasira.[/SUB]
 
Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA. Kwa maoni yangu binafsi kwasasa hapa nchini wafuasi na wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye Hasira kali zaidi.

Watu hawa wamegawanyika sehemu mbili

1: Tabaka la Uongozi wa CHADEMA. Viongozi wa hiki chama ni watu wenye Hasira kali Sana, Chuki, husuda, visasi

Ukisikiliza hotuba zao utagundua hilo. Ni watu wenye kutamka maneno makali yenye kubeba hisia nzito kutoka mioyoni mwao ambazo wanatamani watanzania wote wawe nazo. Vyama pinzani vyote vingine wanataka viunge mkono CHADEMA kwa chochote kile watacho sema kinyume na hapo basi ni mamluki wa CCM.

Ikitokea siku moja Tanzania kila mtaa unawaka moto, huku watoto wakibakwa kikatili, kuuawa na vilio kila Kona basi siku hiyo kwao itakuwa ni sherehe kubwa sana.

2: Wafuasi na chama, wapenzi na wakeleketwa. Hawa nao ni watu wenye Hasira kali sana, ni watu wenye maneno makali yenye lengo la kuudhi hata pasipo sababu kabisa.

Mfano Mzuri ni hapa jukwaani ole wako ukianzisha mada isiyo sifu CHADEMA tena bahati mbaya iwe na hoja ngumu kujibika zenye ukweli kuhusu chama chao, hapo ndipo hasira huwaka zaidi. Utakutana na kauli za ajabu Kama:

Mataga
Uza ubongo mana unakaa nao kwa hasara.
Lissu amewasika kunako
Huna akili
Pumba n.k

Wakiambiwa na viongozi wao kuhusu kuandamana kudai haki basi hapo hulipuka kwa shangwe kubwa sana wengine hudiliki kusema damu imwagike!

Muda huo wanakuwa wamesahau kuwa.

Yawezekana mumewe au mke ni wa chama kingine tofauti na yeye.

Mwanaye, mjomba, shangazi, boss wake ofisini, jirani yake, mpangaji mwenzake, mfanya biashara mwenzake, rafiki wa familia yake n.k ni watu wa vyama tofauti na yeye. Hajui kwamba akianza kumwaga hiyo damu itaanzia nyumbani kwake kumwagika.

Kwa kifupi hao ndio CHADEMA a.k.a watanzania wanao ishi kwa hofu kubwa sana kwa mujibu wa maneno yao ya mitandaoni.

Kwa mtu asiye ijua Tanzania au anaye ishi nje ya Tanzania akifuatilia kundi hili la CHADEMA wa mitandaoni anaweza kudhani nchi inawake moto.

Ukitaka kundi hili liwe na furaha sana na uitwe mwenye akili kubwa basi unatakiwa useme:

CHADEMA ndio chama bora Cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
Lissu ndio mwanasheria bora zaidi kuliko wote Tanzania.
Lissu ndio binadamu pekee mwenye akili nyingi kuwazidi watanzania wote.

Yote tisa kumi, tukana serikali kwa kadiri uwezavyo hapo utakuwa umewakonga nyoyo zao haswaa.
Umesema sawa kabisa.
 
Magufuli na CCM walizima ajenda za CHADEMA kwa vitendo. Huko nyuma ajenda kuu za CHADEMA ilikuwa ni kupiga vita ufisadi, kujenga miundo mbinu ya kisasa na kuboresha huduma za jamii; ajengad hizo ndizo zilizonifanya hata mimi kuwa mwanachama wa CHADEMA mwaka 2007. Miaka kumi baadaye, Magufuli na CCM wamefuta ajenda zote hizo ndiyo maana CHADEMA wana hasira sana kwa kukoseshwa la kuongelea. Ndiyo maana wamegeukia mambo ya kufikirika tu na kuanza kudharau yale waliyokuwa wanasimamia zamani na yametekelezwa na CCM.
 
Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA. Kwa maoni yangu binafsi kwasasa hapa nchini wafuasi na wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye Hasira kali zaidi.

Watu hawa wamegawanyika sehemu mbili

1: Tabaka la Uongozi wa CHADEMA. Viongozi wa hiki chama ni watu wenye Hasira kali Sana, Chuki, husuda, visasi

Ukisikiliza hotuba zao utagundua hilo. Ni watu wenye kutamka maneno makali yenye kubeba hisia nzito kutoka mioyoni mwao ambazo wanatamani watanzania wote wawe nazo. Vyama pinzani vyote vingine wanataka viunge mkono CHADEMA kwa chochote kile watacho sema kinyume na hapo basi ni mamluki wa CCM.

Ikitokea siku moja Tanzania kila mtaa unawaka moto, huku watoto wakibakwa kikatili, kuuawa na vilio kila Kona basi siku hiyo kwao itakuwa ni sherehe kubwa sana.

2: Wafuasi na chama, wapenzi na wakeleketwa. Hawa nao ni watu wenye Hasira kali sana, ni watu wenye maneno makali yenye lengo la kuudhi hata pasipo sababu kabisa.

Mfano Mzuri ni hapa jukwaani ole wako ukianzisha mada isiyo sifu CHADEMA tena bahati mbaya iwe na hoja ngumu kujibika zenye ukweli kuhusu chama chao, hapo ndipo hasira huwaka zaidi. Utakutana na kauli za ajabu Kama:

Mataga
Uza ubongo mana unakaa nao kwa hasara.
Lissu amewasika kunako
Huna akili
Pumba n.k

Wakiambiwa na viongozi wao kuhusu kuandamana kudai haki basi hapo hulipuka kwa shangwe kubwa sana wengine hudiliki kusema damu imwagike!

Muda huo wanakuwa wamesahau kuwa.

Yawezekana mumewe au mke ni wa chama kingine tofauti na yeye.

Mwanaye, mjomba, shangazi, boss wake ofisini, jirani yake, mpangaji mwenzake, mfanya biashara mwenzake, rafiki wa familia yake n.k ni watu wa vyama tofauti na yeye. Hajui kwamba akianza kumwaga hiyo damu itaanzia nyumbani kwake kumwagika.

Kwa kifupi hao ndio CHADEMA a.k.a watanzania wanao ishi kwa hofu kubwa sana kwa mujibu wa maneno yao ya mitandaoni.

Kwa mtu asiye ijua Tanzania au anaye ishi nje ya Tanzania akifuatilia kundi hili la CHADEMA wa mitandaoni anaweza kudhani nchi inawake moto.

Ukitaka kundi hili liwe na furaha sana na uitwe mwenye akili kubwa basi unatakiwa useme:

CHADEMA ndio chama bora Cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
Lissu ndio mwanasheria bora zaidi kuliko wote Tanzania.
Lissu ndio binadamu pekee mwenye akili nyingi kuwazidi watanzania wote.

Yote tisa kumi, tukana serikali kwa kadiri uwezavyo hapo utakuwa umewakonga nyoyo zao haswaa.
CHADEMA wana uchungu mkubwa na nchi hii inayoharibiwa na dikteta anayeleta ukabila.
 
Ni wapuuzi wachache ambao wengi wapo under 18..si unajua kwa sasa jf imevamiwa na watoto wa mwendokasi..yaani ni kama dereva wa bodaboda..anajifunza pikipiki asubui jioni anataka kushindana barabarani.
 
Hamtaki kuambiwa ukweli , mtahangaika sana tendeni haki ndio amani itakuwepo , kutokutenda haki ,kukandamiza watu huwa kunazalisha Mambo mengi sana .Yaani watu watekwe , wauwawe , wapotezwe ,wafungwe ,wabambikizwe kesi halafu watu wasiwe na hasira ? Hizi ni akili matope .Wangekuwa Kati ya hao waliopotezwa na kuuwawa ndugu zako ungefurahi .
IMG_20200908_232916.jpg
IMG_20200822_132046.jpg
IMG_20200822_132031.jpg
 
Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA. Kwa maoni yangu binafsi kwasasa hapa nchini wafuasi na wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye Hasira kali zaidi.

Watu hawa wamegawanyika sehemu mbili

1: Tabaka la Uongozi wa CHADEMA. Viongozi wa hiki chama ni watu wenye Hasira kali Sana, Chuki, husuda, visasi

Ukisikiliza hotuba zao utagundua hilo. Ni watu wenye kutamka maneno makali yenye kubeba hisia nzito kutoka mioyoni mwao ambazo wanatamani watanzania wote wawe nazo. Vyama pinzani vyote vingine wanataka viunge mkono CHADEMA kwa chochote kile watacho sema kinyume na hapo basi ni mamluki wa CCM.

Ikitokea siku moja Tanzania kila mtaa unawaka moto, huku watoto wakibakwa kikatili, kuuawa na vilio kila Kona basi siku hiyo kwao itakuwa ni sherehe kubwa sana.

2: Wafuasi na chama, wapenzi na wakeleketwa. Hawa nao ni watu wenye Hasira kali sana, ni watu wenye maneno makali yenye lengo la kuudhi hata pasipo sababu kabisa.

Mfano Mzuri ni hapa jukwaani ole wako ukianzisha mada isiyo sifu CHADEMA tena bahati mbaya iwe na hoja ngumu kujibika zenye ukweli kuhusu chama chao, hapo ndipo hasira huwaka zaidi. Utakutana na kauli za ajabu Kama:

Mataga
Uza ubongo mana unakaa nao kwa hasara.
Lissu amewasika kunako
Huna akili
Pumba n.k

Wakiambiwa na viongozi wao kuhusu kuandamana kudai haki basi hapo hulipuka kwa shangwe kubwa sana wengine hudiliki kusema damu imwagike!

Muda huo wanakuwa wamesahau kuwa.

Yawezekana mumewe au mke ni wa chama kingine tofauti na yeye.

Mwanaye, mjomba, shangazi, boss wake ofisini, jirani yake, mpangaji mwenzake, mfanya biashara mwenzake, rafiki wa familia yake n.k ni watu wa vyama tofauti na yeye. Hajui kwamba akianza kumwaga hiyo damu itaanzia nyumbani kwake kumwagika.

Kwa kifupi hao ndio CHADEMA a.k.a watanzania wanao ishi kwa hofu kubwa sana kwa mujibu wa maneno yao ya mitandaoni.

Kwa mtu asiye ijua Tanzania au anaye ishi nje ya Tanzania akifuatilia kundi hili la CHADEMA wa mitandaoni anaweza kudhani nchi inawake moto.

Ukitaka kundi hili liwe na furaha sana na uitwe mwenye akili kubwa basi unatakiwa useme:

CHADEMA ndio chama bora Cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
Lissu ndio mwanasheria bora zaidi kuliko wote Tanzania.
Lissu ndio binadamu pekee mwenye akili nyingi kuwazidi watanzania wote.

Yote tisa kumi, tukana serikali kwa kadiri uwezavyo hapo utakuwa umewakonga nyoyo zao haswaa.
Hali mbaya mkuu.
 
Tumeonewa mno. Sasa basi!
 
Nipo Kilimanjaro hapa wilaya ya hai ninachoshuhudia ni aibu kubwa kwa upinzani. Wananchi hawamtaki Mbowe tena, sababu ni hizo ulizotaja hapo juu.
Uchaguzi huu ni mgumu sana kwa upinzani. Hizi kelele za mitandaoni uraiani hazipo kabisa.
 
Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA. Kwa maoni yangu binafsi kwasasa hapa nchini wafuasi na wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye Hasira kali zaidi.

Watu hawa wamegawanyika sehemu mbili

1: Tabaka la Uongozi wa CHADEMA. Viongozi wa hiki chama ni watu wenye Hasira kali Sana, Chuki, husuda, visasi

Ukisikiliza hotuba zao utagundua hilo. Ni watu wenye kutamka maneno makali yenye kubeba hisia nzito kutoka mioyoni mwao ambazo wanatamani watanzania wote wawe nazo. Vyama pinzani vyote vingine wanataka viunge mkono CHADEMA kwa chochote kile watacho sema kinyume na hapo basi ni mamluki wa CCM.

Ikitokea siku moja Tanzania kila mtaa unawaka moto, huku watoto wakibakwa kikatili, kuuawa na vilio kila Kona basi siku hiyo kwao itakuwa ni sherehe kubwa sana.

2: Wafuasi na chama, wapenzi na wakeleketwa. Hawa nao ni watu wenye Hasira kali sana, ni watu wenye maneno makali yenye lengo la kuudhi hata pasipo sababu kabisa.

Mfano Mzuri ni hapa jukwaani ole wako ukianzisha mada isiyo sifu CHADEMA tena bahati mbaya iwe na hoja ngumu kujibika zenye ukweli kuhusu chama chao, hapo ndipo hasira huwaka zaidi. Utakutana na kauli za ajabu Kama:

Mataga
Uza ubongo mana unakaa nao kwa hasara.
Lissu amewasika kunako
Huna akili
Pumba n.k

Wakiambiwa na viongozi wao kuhusu kuandamana kudai haki basi hapo hulipuka kwa shangwe kubwa sana wengine hudiliki kusema damu imwagike!

Muda huo wanakuwa wamesahau kuwa.

Yawezekana mumewe au mke ni wa chama kingine tofauti na yeye.

Mwanaye, mjomba, shangazi, boss wake ofisini, jirani yake, mpangaji mwenzake, mfanya biashara mwenzake, rafiki wa familia yake n.k ni watu wa vyama tofauti na yeye. Hajui kwamba akianza kumwaga hiyo damu itaanzia nyumbani kwake kumwagika.

Kwa kifupi hao ndio CHADEMA a.k.a watanzania wanao ishi kwa hofu kubwa sana kwa mujibu wa maneno yao ya mitandaoni.

Kwa mtu asiye ijua Tanzania au anaye ishi nje ya Tanzania akifuatilia kundi hili la CHADEMA wa mitandaoni anaweza kudhani nchi inawake moto.

Ukitaka kundi hili liwe na furaha sana na uitwe mwenye akili kubwa basi unatakiwa useme:

CHADEMA ndio chama bora Cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
Lissu ndio mwanasheria bora zaidi kuliko wote Tanzania.
Lissu ndio binadamu pekee mwenye akili nyingi kuwazidi watanzania wote.

Yote tisa kumi, tukana serikali kwa kadiri uwezavyo hapo utakuwa umewakonga nyoyo zao haswaa.

Mkuu, be very careful! In context, hapa umewaelezea zaidi ya asilimia 90 ya Watanzania wote wakiwemo wanachama wa CCM, wakulima, wafanyabiashara, watumishi wa umma na polisi kibao. Hao ndio wenye “hasira kali ...”. Inaelekea kuna hofu kubwa juu ya mtazamo wa Watanzania wengi kuhusu aina ya utawala unaoendeshwa na serikali ya CCM.

Manake viongozi na wanachama wa CHADEMA unaowasema ni wachache sana. Inashangaza kuona mabandiko ya aina hii yanazidi kuongezeka hapa JF na mitandao mingine kupambana na kikundi kidogo hivyo cha Watanzania. Yaani kama ni viongozi na wanachama wa CHADEMA pekee, hawa ni wachache sana kuweza kuwa na uzito (impact) ya maana kwenye mwelekeo wa taifa; wanatakiwa kupuuzwa tu (ignored) kama wanavyopuuzwa kina Lipumba, Mrema, Mbatia na Cheyo.

Bandiko refu na lenye “hisia kali” hivi haliandikwi kwa ajili ya kakikundi ka wachache wenye “hasira kali” kanakostahili kupuuzwa tu. Ieleweke kuwa propaganda nazo zina ukomo wa uwezo wa kudanganya umma.
 
Back
Top Bottom