Wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye hasira sana kwa sasa

Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA. Kwa maoni yangu binafsi kwasasa hapa nchini wafuasi na wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye Hasira kali zaidi.

Watu hawa wamegawanyika sehemu mbili

1: Tabaka la Uongozi wa CHADEMA. Viongozi wa hiki chama ni watu wenye Hasira kali Sana, Chuki, husuda, visasi

Ukisikiliza hotuba zao utagundua hilo. Ni watu wenye kutamka maneno makali yenye kubeba hisia nzito kutoka mioyoni mwao ambazo wanatamani watanzania wote wawe nazo. Vyama pinzani vyote vingine wanataka viunge mkono CHADEMA kwa chochote kile watacho sema kinyume na hapo basi ni mamluki wa CCM.

Ikitokea siku moja Tanzania kila mtaa unawaka moto, huku watoto wakibakwa kikatili, kuuawa na vilio kila Kona basi siku hiyo kwao itakuwa ni sherehe kubwa sana.

2: Wafuasi na chama, wapenzi na wakeleketwa. Hawa nao ni watu wenye Hasira kali sana, ni watu wenye maneno makali yenye lengo la kuudhi hata pasipo sababu kabisa.

Mfano Mzuri ni hapa jukwaani ole wako ukianzisha mada isiyo sifu CHADEMA tena bahati mbaya iwe na hoja ngumu kujibika zenye ukweli kuhusu chama chao, hapo ndipo hasira huwaka zaidi. Utakutana na kauli za ajabu Kama:

Mataga
Uza ubongo mana unakaa nao kwa hasara.
Lissu amewasika kunako
Huna akili
Pumba n.k

Wakiambiwa na viongozi wao kuhusu kuandamana kudai haki basi hapo hulipuka kwa shangwe kubwa sana wengine hudiliki kusema damu imwagike!

Muda huo wanakuwa wamesahau kuwa.

Yawezekana mumewe au mke ni wa chama kingine tofauti na yeye.

Mwanaye, mjomba, shangazi, boss wake ofisini, jirani yake, mpangaji mwenzake, mfanya biashara mwenzake, rafiki wa familia yake n.k ni watu wa vyama tofauti na yeye. Hajui kwamba akianza kumwaga hiyo damu itaanzia nyumbani kwake kumwagika.

Kwa kifupi hao ndio CHADEMA a.k.a watanzania wanao ishi kwa hofu kubwa sana kwa mujibu wa maneno yao ya mitandaoni.

Kwa mtu asiye ijua Tanzania au anaye ishi nje ya Tanzania akifuatilia kundi hili la CHADEMA wa mitandaoni anaweza kudhani nchi inawake moto.

Ukitaka kundi hili liwe na furaha sana na uitwe mwenye akili kubwa basi unatakiwa useme:

CHADEMA ndio chama bora Cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
Lissu ndio mwanasheria bora zaidi kuliko wote Tanzania.
Lissu ndio binadamu pekee mwenye akili nyingi kuwazidi watanzania wote.

Yote tisa kumi, tukana serikali kwa kadiri uwezavyo hapo utakuwa umewakonga nyoyo zao haswaa.
Umeongea facts mzee na utawajua kupitia comment zao hapa.
 
Mnafanya mambo ya kipuuzi halafu mnataka tuwachekee! Mimi siyo chadema, ila nina hasira kali sana na nyinyi CCM kwa kutonipandisha daraja tangu mwaka 2015, kisa eti mnanunua ndege!

Hiyo ndege mimi inanisaidia nini!
Wewe umejuaje mtoa mada Ni CCM?
 
Haswa safari hii. Yaani wameghairi kabisa kuzungusha mikono na kupiga deki lami. Mgombea wao kila siku analalamika eti ameteguliwa mguu na marisasi sijui nini, upuuzi mtupu.
Mbona kuna mgombea badala ya Pushups anacheza Singeli? Hii Sera ya Singeli mnaamini itawasaidia kina mama wa vijijini?
 
Mnafanya mambo ya kipuuzi halafu mnataka tuwachekee! Mimi siyo chadema, ila nina hasira kali sana na nyinyi CCM kwa kutonipandisha daraja tangu mwaka 2015, kisa eti mnanunua ndege!

Hiyo ndege mimi inanisaidia nini!
Mkuu acha unyonge Kama uriziki na Mambo ya Boss wako ya kutokupandisha daraja,si ujiajiri tu alafu ujipandishe mwenyewe Madaraja unayotaka!!
 
Acha kupotosha mkuu.

1 sijajua kiongozi gani wa CHADEMA mwenye hizo chuki visasi na jasira acha kupotosha. Voongozi wengi pamoja na kujeruhiwana utawala huu wa jiwe kufungwa kufilosiwa kubambikiziwa kesi kutekwa nk bado wameendelea kuwa imara kuongoza jahazi.

2 Ni kweli kabisa mmekuwa mkijibiwa vibaya hapa kwa sababu mlitumwa Na Dk bashiru muje mtujibu bila ya kufikiria. Mmekuwa mkileta nyuziza kijinga sana hapa Nyuzi za kimatanga zile nyuzi za Buku saba nk.

Watanzania tumekuwa tukiishi kwa hofu kubwa sana Jaribu kuvaa viatu vya wazazi wa Mo Anzory Gwanda, Ben saa nane, lissu ,Roma mkatoliki akwilina nk.

Nchi imejaa ubabe mwingi sana na udikteta.
Kuminya uhuru wa vyombo vya habari
Kutekana .
Kumwaga mvua za risasi.
Kuzuia mikutano ya kisiasa 5 years.
Kupoteza watu.
Miili ya watu kuokotwa kwenye viroba nk.
Mauaji ya kibiti nk.

Sijawahi kuona vurugu zozote zikianzishwa na CHADEMA bali Police ndio wamekuwa wakimimina Risasi hadj za moto minyume kabisa na sheria. Mfano maandamano yaliyopelekea Polisi Kumuua Akwilina mwa lengo la kumpiga mbowe risasi nk.

Lissu ni Mwanasheria bora kabisa kuwahi kuzaliwa kwenye hii nchi ameshinda kesi nyingi sana , Amefanya kazi na Taasisi kubwa sana Zenye levo ya kidunia nk nk.

Pia Lissu ndio binadamu pekee aliyepigwa Lisasi 32 akatoka salama.

Mbowe pamoja na kuvunjwa kufilisiwa kudhurumiwa mashamba Bill, Tanzania Daima nk nk
Bado ameendelea kuwa imara kuwapigania watanzania

Usijisahaulishe.
Ni yeye
Unakataa huku unatenda. Umejibu kwa kukurupuka na jazba halafu unasema huna jazba. Utapasuka moyo bure, wenyewe wanakula ruzuku.
 
Mkuu acha unyonge Kama uriziki na Mambo ya Boss wako ya kutokupandisha daraja,si ujiajiri tu alafu ujipandishe mwenyewe Madaraja unayotaka!!

Mimi siyo mnyonge! Ninachokifanya ni kuidai tu haki yangu ya msingi kama mfanyakazi, kutoka kwa mwajiri asiyejielewa. By the way, hakuna Nchi duniani ambayo wananchi wote wamejiajiri!

Muhimu unapopewa dhamana ya kuwaongoza wengine, unatakiwa utende HAKI! Ukishaanza kuleta mambo ya ubaguzi, jeuri, kiburi, nk. utachukiwa tu.
 
Mimi siyo mnyonge! Ninachokifanya ni kuidai tu haki yangu ya msingi kama mfanyakazi, kutoka kwa mwajiri asiyejielewa.
Sasa ukiona Mwajiri ajielewi,piga chini kazi yake na nenda katafute Mawajiri mwingine au Wwe Jiajiri mwenyewe! Ukiona Mwenye Nyumba anakusumbua na hataki kukusikiliza hasira za nini,tafuta Nyumba nyingine au Jenga yako ili na wwe ujipangie Mashariti yako!! Maisha ni simple sana haitaji hasira!!
 
Kwa hivyo mambo yakienda mrama kwenye nchi yako unahama nchi au unaunda nchi yako?
 
Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA. Kwa maoni yangu binafsi kwasasa hapa nchini wafuasi na wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye Hasira kali zaidi.

Watu hawa wamegawanyika sehemu mbili

1: Tabaka la Uongozi wa CHADEMA. Viongozi wa hiki chama ni watu wenye Hasira kali Sana, Chuki, husuda, visasi

Ukisikiliza hotuba zao utagundua hilo. Ni watu wenye kutamka maneno makali yenye kubeba hisia nzito kutoka mioyoni mwao ambazo wanatamani watanzania wote wawe nazo. Vyama pinzani vyote vingine wanataka viunge mkono CHADEMA kwa chochote kile watacho sema kinyume na hapo basi ni mamluki wa CCM.

Ikitokea siku moja Tanzania kila mtaa unawaka moto, huku watoto wakibakwa kikatili, kuuawa na vilio kila Kona basi siku hiyo kwao itakuwa ni sherehe kubwa sana.

2: Wafuasi na chama, wapenzi na wakeleketwa. Hawa nao ni watu wenye Hasira kali sana, ni watu wenye maneno makali yenye lengo la kuudhi hata pasipo sababu kabisa.

Mfano Mzuri ni hapa jukwaani ole wako ukianzisha mada isiyo sifu CHADEMA tena bahati mbaya iwe na hoja ngumu kujibika zenye ukweli kuhusu chama chao, hapo ndipo hasira huwaka zaidi. Utakutana na kauli za ajabu Kama:

Mataga
Uza ubongo mana unakaa nao kwa hasara.
Lissu amewasika kunako
Huna akili
Pumba n.k

Wakiambiwa na viongozi wao kuhusu kuandamana kudai haki basi hapo hulipuka kwa shangwe kubwa sana wengine hudiliki kusema damu imwagike!

Muda huo wanakuwa wamesahau kuwa.

Yawezekana mumewe au mke ni wa chama kingine tofauti na yeye.

Mwanaye, mjomba, shangazi, boss wake ofisini, jirani yake, mpangaji mwenzake, mfanya biashara mwenzake, rafiki wa familia yake n.k ni watu wa vyama tofauti na yeye. Hajui kwamba akianza kumwaga hiyo damu itaanzia nyumbani kwake kumwagika.

Kwa kifupi hao ndio CHADEMA a.k.a watanzania wanao ishi kwa hofu kubwa sana kwa mujibu wa maneno yao ya mitandaoni.

Kwa mtu asiye ijua Tanzania au anaye ishi nje ya Tanzania akifuatilia kundi hili la CHADEMA wa mitandaoni anaweza kudhani nchi inawake moto.

Ukitaka kundi hili liwe na furaha sana na uitwe mwenye akili kubwa basi unatakiwa useme:

CHADEMA ndio chama bora Cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
Lissu ndio mwanasheria bora zaidi kuliko wote Tanzania.
Lissu ndio binadamu pekee mwenye akili nyingi kuwazidi watanzania wote.

Yote tisa kumi, tukana serikali kwa kadiri uwezavyo hapo utakuwa umewakonga nyoyo zao haswaa.
Kuna mda inabidi chuki na hasira iwepo kwa dhuluma za wazi,juzi Maalim Seif kasema mwaka huu wakitugusa kama ni mawe au marungu tutapambana
 
Hivi kama ndugu walikuwa wanawekwa kwenye viroba ,wanatekwa na kupotea na wengine kuuawa kikatili na ni chadema tu usiwe na chuki na hasira ,lissu kapigwa risasi 16 ,mbowe wamefanyia mali zake hujuma hawakutosheka na kumtengua miguu halafu usiwe na huruma na chuki ?

Mimi siyo chuki tu hata wakisema tunoe mapanga nipo tayari
 
Sasa ukiona Mwajiri ajielewi,piga chini kazi yake na nenda katafute Mawajiri mwingine au Wwe Jiajiri mwenyewe! Ukiona Mwenye Nyumba anakusumbua na hataki kukusikiliza hasira za nini,tafuta Nyumba nyingine au Jenga yako ili na wwe ujipangie Mashariti yako!! Maisha ni simple sana haitaji hasira!!

Dawa sahihi ya kuondokana na tatizo siyo kukimbia! ni kupambana kulitatua. Mfanyakazi kudai haki yake kwa mwajiri siyo dhambi! Iko duniani kote. Na unapokutana na mwajiri asiyejielewa kama CCM, hasira lazima zitatawala tu.

Huwezi kuninyima haki zangu za msingi kisa unanunua ndege, halafu nikuchekee tu au eti niache kazi ambayo nimeisomea kwa taabu na shida nyingi! Hilo haliwezekani.
 
Kama Ni hivyo unavyohisi kwanini wewe unapinga kwamba sio mshabiki wa CHADEMA?

Kuna utofauti kati ya mshabiki na mwanachama. Mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha kisiasa! Ni mfuasi tu wa mabadiliko ya kweli ya kuiondoa ccm madarakani.

Hivyo kinapotokea chama chochote kile chenye maono ya kuindoa ccm madarakani, basi moja kwa moja mimi ni mfuasi wao. Including Chadema.
 
Back
Top Bottom