Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,228
- 1,828
Niliwahi kupendana na mwanamke wa hivi. Kiukweli nilijifunza mengi. Wanawake wa hivi mara nyingi huonesha mapenzi/upendo kwa vitendo. Hizo text za kigumu zilikuwa kama kawaida lakini tukionana. Atakukumbatia, atakukiss na mapenzi utayafaidi tu. Tusizoee text za kubembelezwa, wengi wetu tukipendwa sana na watoto wa kiketunaishia kuwatesa bure tu.