Wapenzi wa aina hii ni pasua kichwa

Wapenzi wa aina hii ni pasua kichwa

Jambo zuri lazima uliangaikie.....!!!Hayo uliyoyaainisha yanaweza yakawa sababu kwa wengine ila kwangu si sababu.
Kuna misemo na mitazamo mingine sio lazima uitumie kila mahali..na kuhangaika inategemea na unavyodefine... Kuna watu wengine kusoma, kufanya bidii kwenye maisha wanaona ni wajbu(responsibility) kuna waengine wanaona ni kuhangaika..kuna wengine wanaona kutengeneza mapenzi na kuyafanya yawe unavyotaka ni wajibu na kawaida wewe unaweza kuona ni kuhangaika..labda kutokana na mtazamo hafifu unaeletwa na hizo sababu hapo juu..
 
Kama alivyo eleza Mzee wa Rula bahati mbaya wasichana wa hivi kitandani ni zero. Hii ni kwa sababu hawapendi kujifunza na hawapendi kushughulika ili wasionekane wame fall in love. Ni shidaaa
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanaume nao wapo hivyo, yaani kuna wanaume hajui kusema nakupenda, yaani hawajui maneno ya mahaba kabisa.
Hata kutoa hug tabu, sijui ni ushamba au nini?

Mkiachwa mnajishangaa, kuna wanaume hata kiss kutoa shida, labda muda wa sex tena labda mwanamke aforce.
Jamani watu wa namna hii ni kuachana nao tu.Tunaishi mara moja kwa nini kuishi na mtu goi goi!!
 
Imetokea mara mbili katika maisha yangu kuwa na wapenzi wa aina ambayo nitaelezea hapa chini. Kwa kuwa mimi ni mwanaume ni uzoefu na wapenzi wa jinsi ya kike. Inawezekana kabisa hata wanaume kuna wenye tabia hii.

Naongelea watu ambao wanapenda lakini hawataki kuonyesha kama wanapenda. Wasichana wa aina hii ni wagumu sana kuanzisha uhusiano, hujaribu kuchunguza na mpaka wa jiaminishe kuwa wako kwenye mikono salama ndo wanaweza kuingia kwenye uhusiano. Moja ya vigezo ambavyo hutumia ni kumkataisha mtongozaji tamaa. Yaani atakuzingua kama hujapenda kweli ni lazima utaachia ngazi. Lakini ukiwa na moyo wa kufuatilia bila kukataa tamaa utamnasa.hata baada ya kumnasa, bado hawaonyeshi kama wame fall hata siku moja. Maneno kama dear, honey, sweetheart, baby n.k hawayatumii hata siku moja. Mara nyingi watatuma meseji za kukatisha tamaa, kuonyesha kwamba hawaja fall in love kivileee basi wanazuga. Kwa mfano Unaweza kumwandikia sms kama 'vipi sweetheart nimekumiss' akajibu 'nani sweetheart wako, umepotea njia au?' Lakini ukipitisha siku nzima hujamwandikia meseji, analalamika, inakuaje hujamwandikia meseji, pia ukiandika meseji ambazo hazina sweetheart and the like pia huoji inakuwaje meseji so dry. Hii inaonyesha wao wanapenda kupendwa na wanapenda lakini hawapendi kuonyesha kuwa wanapenda.

Msichana wa kwanza wa hivi niliachana naye, niliamua kumuacha baada ya kuhisi ananizingua na kunipotezea muda. Kumbe alikuwa ananipenda sana. Baada ya kumtamkia kuwa mimi nafikiria kuachia ngazi akaniambia umechelewa. ungefanya hivyo toka juzi. Ndo ikawa mwisho. Lakini feedback nilizopata kutoka kwa rafiki zake ni kuwa at first hakuwa anaamini kama kweli na muacha. Alichukulia kama utani...kadri ziku zilivyosonga mbele na kugundua kuwa nilikuwa serious alianza kuhaha akiahidi kuwa angejirekebisha eti huwa anatania tu. Lakini it was too late.

Baadae nd nilikuja kugundua kuwa kweli moyoni alikuwa ananipenda ingawa hakuonyesha. Baadae nilikuja kupata masichana mwingine wa hivyo. Kwa sababu bilisha wajulia tabia zao, hawakunisumbua. Ingawa nilikuwa na miss lugha nzuri za kimahaba kutoka kwa mtu umpendaye, mapenzi yalikuwa hayana bashasha na hivyo kujikuta niki pullout slowly. Wapenzi wa namna hii ni Shida. Wengi wao hawaolewi kwa sababu ya tabia zao za kumisuse wanaume.
Mie ninae wa dizaini hiyo,mwaka wa nne huu lkn bado anaruka matundu kwenye mnyololo,ni shidaaaa!
 
N
Hiyo roho ya kigumu kwenye mapenzi ni nzuri sana
wanakufa kijerumani tu na tai shingoni, natamani ningekuwa mgumu hivo
ila masikini sijajaaliwa...
Na jeuri zote kumbe hubani hujiwezi maskini, ha ha! Ntakupa bro wangu akunyooshe itapendeza zaidi maana ni mtata.
 
Ndio maana niliapa kutodate under 25...!!! Toka na wadada waliokomaa kiakili, hutokumbana na mambo Haya!!
Hahah hilo ni kweli, it seems hao wanawake wa mtoa mada ni 18-24 ndio huwa wana upumbavu mwingi na visa vya kijinga.
Kwa uzoefu wangu wale wa 25+ ndio huwa wana utulivu flani katika mahusiano if you treat them right na wana shukurani.
 
..
..THIS IS 100% true...but the easy way kumfanya mwanamke asikusumbue sumbue...A MAN MUST EAT HER PAPUCHI KISAWA SAWA na kisasa kabisa...I mean
mle mzima mzima KISAMAKI SAMAKI usimbakize....UTASHANGAAA HESHIMA ATAKAYOKUPA...na usiwe kila mara una wasiliana nae..I mean kila dak 10 unamjulia hali ATAKUCHOKA.....
Ubaya mwanamke wa hivyo ni selfish in nature, usipomtafuta utakuta mmepangwa msururu
 
i like gals that play hard to get.
Asee kuna playing hard to get na kuna stupid mind games! Hizo anazoongelea mtoa mada ni mind games! Mfano: demu anaweza kukuaga good night saa moja na robo jioni while inajulikana mtu hulala saa3 usiku ama zaidi, utasema ana play hard hapo? Ama mtu hapokei simu yako makusudi ili uanze tu ku complain kisha anajichekesha kisnitch.

Playing hard to get huwa hailast, ukishamvua pichu anakuwa mdogo unamfanya unavotaka ila mind games are there to stay, hata uwe ushamkaza still manjegeka yataendelea!
 
Mwanamke wa hivyo simtaki,
Akinitaka simuachi!
 
Imetokea mara mbili katika maisha yangu kuwa na wapenzi wa aina ambayo nitaelezea hapa chini. Kwa kuwa mimi ni mwanaume ni uzoefu na wapenzi wa jinsi ya kike. Inawezekana kabisa hata wanaume kuna wenye tabia hii.

Naongelea watu ambao wanapenda lakini hawataki kuonyesha kama wanapenda. Wasichana wa aina hii ni wagumu sana kuanzisha uhusiano, hujaribu kuchunguza na mpaka wa jiaminishe kuwa wako kwenye mikono salama ndo wanaweza kuingia kwenye uhusiano. Moja ya vigezo ambavyo hutumia ni kumkataisha mtongozaji tamaa. Yaani atakuzingua kama hujapenda kweli ni lazima utaachia ngazi. Lakini ukiwa na moyo wa kufuatilia bila kukataa tamaa utamnasa.hata baada ya kumnasa, bado hawaonyeshi kama wame fall hata siku moja. Maneno kama dear, honey, sweetheart, baby n.k hawayatumii hata siku moja. Mara nyingi watatuma meseji za kukatisha tamaa, kuonyesha kwamba hawaja fall in love kivileee basi wanazuga. Kwa mfano Unaweza kumwandikia sms kama 'vipi sweetheart nimekumiss' akajibu 'nani sweetheart wako, umepotea njia au?' Lakini ukipitisha siku nzima hujamwandikia meseji, analalamika, inakuaje hujamwandikia meseji, pia ukiandika meseji ambazo hazina sweetheart and the like pia huoji inakuwaje meseji so dry. Hii inaonyesha wao wanapenda kupendwa na wanapenda lakini hawapendi kuonyesha kuwa wanapenda.

Msichana wa kwanza wa hivi niliachana naye, niliamua kumuacha baada ya kuhisi ananizingua na kunipotezea muda. Kumbe alikuwa ananipenda sana. Baada ya kumtamkia kuwa mimi nafikiria kuachia ngazi akaniambia umechelewa. ungefanya hivyo toka juzi. Ndo ikawa mwisho. Lakini feedback nilizopata kutoka kwa rafiki zake ni kuwa at first hakuwa anaamini kama kweli na muacha. Alichukulia kama utani...kadri ziku zilivyosonga mbele na kugundua kuwa nilikuwa serious alianza kuhaha akiahidi kuwa angejirekebisha eti huwa anatania tu. Lakini it was too late.

Baadae nd nilikuja kugundua kuwa kweli moyoni alikuwa ananipenda ingawa hakuonyesha. Baadae nilikuja kupata masichana mwingine wa hivyo. Kwa sababu bilisha wajulia tabia zao, hawakunisumbua. Ingawa nilikuwa na miss lugha nzuri za kimahaba kutoka kwa mtu umpendaye, mapenzi yalikuwa hayana bashasha na hivyo kujikuta niki pullout slowly. Wapenzi wa namna hii ni Shida. Wengi wao hawaolewi kwa sababu ya tabia zao za kumisuse wanaume.
Wala siyo kama alikuwa anakupenda ila ana mambo yake upande wa pili. Yaani anakuwa ana mtu anaemuelewa na kumpenda wakati huo na wewe unampenda so upande wa pili kwa anaempanda anakuwa hapati "love in return" ndo mana hataki kukuzingua wewe kwa kuwa anajua huko alipo anaweza kupigwa chini pia kinachofuatia ni kutengeneza 50% chance kwako ili apate pakuponea ikitokea kazinguliwa upande wa pili.

Sasa shida hutokea pale ameachwa upande wa pili huja kwako mazima na kuanza kujitahdi kukuonesha mapenzi ingawa siyo kiviilee ila utamuona tu anavokuwa juu juu, kukupa mambo anakupa vizuri tuu lakini mahaba na manjonjo mengine au hata kutembea nawewe kama wapenzi huwa ni shida kwake,kukuita romantic names ni mara chache sana yaani anakuw kama mtu alietega mingo sehemu flani ikitiki ana move on.

Kimbembe ni pale ex- wake akitaka kumrudia demu huwa anakataa kipindi cha mwanzoni lakini ex- wake anapomkomalia demu huanza kuwa na sura mbili (staki nataka) na walivyo wajinga hawa mademu nikwamba hata Kama anamkataaa basi ni bora wewe ukae kimya tuu uangalie movie linapoenda na uzidishe manjonjo asahau ujinga wa nyuma, lakini ukjifanya umegundua hilo na kumuonesha umekasilishwa hujifanya kuanzisha ugomvi kana kwamba unamsingzia na yeye siyo tatizo bali tatizo ni ex wake na baadae atakuacha mazima atarudi kwa ex wake mazima.

Ndiyo ujinga wa mademu wa namna hiyo, hawana tofauti na masingle mom'

"Talking from experience, stand to be correct"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom