Wapenzi kuoga pamoja

Jamaa atakuwa amesahau jembe......miaka 3 hajawahi kuoga na mke....hata kwa dharura licha ya mapenzi???? Kuna shida mahali, mwenzie kanogeshewa na mashosti zake wanaojua penzi la kurejeshea mwili joto anaweweseka....Nijuavyo baadhi ya wanawake mchepuko uko njiani.
 
Kama kila mtu anamwili wake, kwa nini wewe unapenda kumnanihii katika mwili wake?

Achia mwili wewe ila usimruhusu kugusa masaburi yako si ndio mjumbe Valentina?

Kwenye haya mambo huyu 'Valentina' ndio anaitwa sana, sijui ndio fundi au mkufunzi
 
Last edited by a moderator:
huyo mpenz wake itakua alipata mwanaume mwngne akafanyiwa mambo hayo,angalien san wenye madem mpenz wako akidai vitu tofaut na kawaid itabid ujiulize why!
 

Kuoga pamoja inategemea na mazingira uliyopo huwezi kuwa kwenye nyumba ya kupanga, bafu la doleni ukaenda kuoga na mke wako, then hata kama upo kwako hii inapendeza mkiwa master bedroom kwani vyote mnavyofanya huko vinakuwa siri yenu, pia ukumbuke watoto huiga pale wanapoona jambo hili swala unapoliweka wazi ndani ya familia ni rahisi sana watoto kuiga na kujifunza. Si vibaya kuoga pamoja ila ni vyema ikawa siri kati ya wawili tu
 
Hapo jamaa alijurupuka kuoa, hana yale mapenzi ya dhati kwa mkewe, huwenda ata sehemu ya siri ya mkewe hajui inafananaje, pia nahisi sababu nyingine jamaa anaona aibu wakati akiinama mkewe atamchungulia huko nyuma.

Dah! Wewe kwani unahisi huko nyuma kwa mumewe kuna nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…