ahsante kwa mchango baba CL. msalimie saaaana mama measkron na sis charminglady.
ahsante weito...
ndatuna ngutete!!
toghu ake!! lol!
mkuu, unadhani kumwekea mazingira ya kusoma tu inatosha?
ulishawahi kufuatilia kama anayoyasoma ndiyo yanayosomwa?
Mtoto akinyea mkono utaukata? Jitahidi tu umpe elimu itakuja kumsaidia uko mbeleni hata kama ana kichwa kigumu sukumaneni hvyohvyo mpaka afike anapostahili....vinginevyo atakuwa mzigo wako wa kudumu....
i think mr Mashaxizo, humwelewi huyu... baada ya final results, haeleweki kabisa na keshafanya logistics zake...
Watapata hata ualimu.
charminglady kakataa kujibu.. hahaa!! goodevening phlagiey (mkuu una jina gumu kweli! sijui ndo frajili ama?)Haya bwana naona mnadumisha napenda je, mtu kwao
alikuwa na maendeleo ya kawaida japo mm si mkaaji sana nyumban kulingana na shuguli zangu. Lakin kwann yeye asiujue umuhim wa shule?? Sasa itabidi aujue umuhim wa shule kwa kumtupa bush
Mankam umenielewa?
bado ndugu naomba ufafanuz