Wapendwa NAUMWA

Ahsante mkuu, yaani sijatokea lindoni siku tatu


Pole sana kaka,kikubwa ni afya zetu,haya malindo haya tunayo siku zote kaka,
jitahidi kupata muda mrefu wa mapumziko itakurudishia afya haraka..
 
Pole sana Baba V. Tengeneza juice ya kitunguu saumu (kikombe 1) unywe mara moja kwa siku. Hii itakusaidia kupunguza uchovu
 
Baba V

Uponyaji hutoka kwa Mungu. Imeandikwa,
Yeremia 17:14 "Uniponye Ee Bwana nami
nitaponyeka uniokoe nami nitaokoka kwa
maana wewendiwe uliye sifa zangu."
 
Last edited by a moderator:
Akamwambia unataka nini, naye akamjibu nataka kuona tena......

Akamwambia "imani yako imekuponya"

Amin amin nawaambia ukiwa na imani ndogo japo kama punje ya haradali, utauambia mlima ung'oke ukaote baharini na ukakutii.

Na hili ndilo neno la Mungu.
 
Baba V

Uponyaji hutoka kwa Mungu. Imeandikwa,
Yeremia 17:14 "Uniponye Ee Bwana nami
nitaponyeka uniokoe nami nitaokoka kwa
maana wewendiwe uliye sifa zangu."

Thanks a lot mama kijacho
 
Last edited by a moderator:

Amen mkuu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Baba V. Tengeneza juice ya kitunguu saumu (kikombe 1) unywe mara moja kwa siku. Hii itakusaidia kupunguza uchovu

Ahsante sana kwa ushauri wako uwoya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…