wapendwa mnisamehe bure..

ilikuwa tarehe 29.01.2011 juma mosi usiku.
nilipoingia humu ndani ya JF nika haribu mambo..
nilienda kwenye Calender nikaweka birthday yangu usiku huo..
badala ya mwezi wa 11.. mimi nikaweka mwezi wa kwanza

kweli wapendwa naomba mnisamehe bure kwa kuwapotezea muda wenu kujibu..
na msamahaa zaidi uwende kwa alieandika hiyo thread..
nimeona imelete migogoro kidogo humu ndani..

yote makosa yangu ndo maana niko mbele yenu kuomba radhi..

Miye kwa maoni yangu sidhani kama ulistahili kuomba samahani kwa hili hasa ukitilia maanani ulishaandika katika ile thread kuhusu kilichojiri. Hongera kwa kuonyesha ustaarabu wako na uungwana.

hahaah lol
mie nahitaji maombi ya kila kitu my dear..
asante kwa kunishtua kuhusu ...................:sick::sick:
hhahahhaha lol

Nilishakuahidi nitakuwa na ww jicho langu likikutizama...........mlimani:car:
 
ilikuwa tarehe 29.01.2011 juma mosi usiku.
nilipoingia humu ndani ya JF nika haribu mambo..
nilienda kwenye Calender nikaweka birthday yangu usiku huo..
badala ya mwezi wa 11.. mimi nikaweka mwezi wa kwanza

kweli wapendwa naomba mnisamehe bure kwa kuwapotezea muda wenu kujibu..
na msamahaa zaidi uwende kwa alieandika hiyo thread..
nimeona imelete migogoro kidogo humu ndani..

yote makosa yangu ndo maana niko mbele yenu kuomba radhi..

The Following 5 Users Say Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

Felixonfellix (Today), Kaizer (Today), Maxence Melo (Today), NILHAM RASHED (Today), WiseLady (Today)

hapo najiuliza tu.......huyu mkulu ni nadra sana kuonekana mitaa hii...kumbe huwa anachungulia chungulia.......:clap2::coffee:
 
Usijali mpendwa maana isingekuwa Ki Mey nadhani ile threat ingefika kama page 20 mpaka wakati unaiona The Finest akaua kabisa kuleta link ya thread uliyopongezwa kabla hehehehe. Sorry kwa kuchelewa ku comment si unajua nipo busy na Nilham na bado hakijaeleweka?
 
hahahhaahah lol
nway nashukuru kwa wewe ku pokea msamaha wangu ..
sasa ntaacha ipotelee mbali lol

mie nta jaribu nisiingilie sana ya weye na Nilham...lol
 
Back
Top Bottom