wapendwa mnisamehe bure..

yaani nikusamehe hivi hivi bila fimbo??!!! Aaah hapana, utarudia wewe . . . lala chini, nasema LALAAAA

CPU
my dear friend..
wewe na hizi avatar zako..

kama na kumbuka vizuri

  1. ninja
  2. akaja Mr.Ben na msichana kamrukia usoni
  3. ikaja miguu fulani ya kutisha
  4. sasa naona unampiga kila mtu BAN
nadhani nimeruka moja... sikumbuki vizuri my dear
 
ooohh dear sasa natetemeka dear
ukisha semaga neno chumbani au mlimani
najua kinacho fuata
hahah lol

ukweli jana nilishuka ghafla kutoka mlimani kwa ajili ya ile sred,,lol

lkn usijali nitakuwa upande wako pia najua TF ni muelewa
 
ukweli jana nilishuka ghafla kutoka mlimani kwa ajili ya ile sred,,lol

lkn usijali nitakuwa upande wako pia najua TF ni muelewa

yaani sasa pressure imeanza kupungua kidogo..
sante sana mpenzi..
naomba usiniache baadaye..
maana yule jamaa angu akikasirikaga mmmhhh
ni sala zako tu ndo zinasaidia hakuna kingine.
hahahah lol
 
ilikuwa tarehe 29.01.2011 juma mosi usiku.
nilipoingia humu ndani ya JF nika haribu mambo..
nilienda kwenye Calender nikaweka birthday yangu usiku huo..
badala ya mwezi wa 11.. mimi nikaweka mwezi wa kwanza

kweli wapendwa naomba mnisamehe bure kwa kuwapotezea muda wenu kujibu..
na msamahaa zaidi uwende kwa alieandika hiyo thread..
nimeona imelete migogoro kidogo humu ndani..

yote makosa yangu ndo maana niko mbele yenu kuomba radhi..

Both this post and that one hazina tija!
 
Both this post and that one hazina tija!

oohh dear mie nimeomba msamaha sioni kosa la kuomba msamaha..
kama wewe umeona hazina tija nini kilichokufanya ujibu??
au hata upoteze muda wako kusoma ??
 
Back
Top Bottom