Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,315 33,111 Sep 29, 2012 #1 Kiatu kipi umekipenda?
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Sep 29, 2012 #2 Hiyo picha ya kwanza sio kiatu bana!!
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,315 33,111 Sep 29, 2012 Thread starter #3 Ndibalema said: Hiyo picha ya kwanza sio kiatu bana!! Click to expand... Mkuu Ndibalema ninakuona sasa unazeeka bwana hicho ni kiatu Heavy Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ndibalema said: Hiyo picha ya kwanza sio kiatu bana!! Click to expand... Mkuu Ndibalema ninakuona sasa unazeeka bwana hicho ni kiatu Heavy
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,781 Sep 29, 2012 #4 Yaani wewe! Mi napenda michuchumio ila hii, no thanks
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Sep 29, 2012 #5 MziziMkavu said: Mkuu Ndibalema ninakuona sasa unazeeka bwana hicho ni kiatu Heavy Click to expand... Mkuu kila nikiangalia mguu unaingiziwa wapi, sipati picha kabisa.
MziziMkavu said: Mkuu Ndibalema ninakuona sasa unazeeka bwana hicho ni kiatu Heavy Click to expand... Mkuu kila nikiangalia mguu unaingiziwa wapi, sipati picha kabisa.
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,315 33,111 Sep 29, 2012 Thread starter #6 Ndibalema said: Mkuu kila nikiangalia mguu unaingiziwa wapi, sipati picha kabisa. Click to expand... Mkuu Ndilema Mguu unaingizwa kwa juu kama kilivyo hicho kiatu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ndibalema said: Mkuu kila nikiangalia mguu unaingiziwa wapi, sipati picha kabisa. Click to expand... Mkuu Ndilema Mguu unaingizwa kwa juu kama kilivyo hicho kiatu.
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Sep 29, 2012 #7 wazungu bana kadiri siku ziendavyo wanazidi kuuonesha ushetani wao.
BelindaJacob Platinum Member Nov 24, 2008 6,474 4,022 Sep 29, 2012 #8 Umekiona hiki Mzizimkavu?!...my new bby!!
niyena Member Jun 26, 2012 9 1 Sep 29, 2012 #10 Mmh! Basi bwana,kama fashion ndo hizo,acha zinipite tu.