Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
Mkuuu, nmeshindwa jibu kwwnza, isije kuwa tungo imekaaa kifasihi.Kati ya nyanya, biringani, na bamia wewe wapenda kipi?
Na wakipendea nini hasa?
Ni kitamu au kichachu?
Ni kigumu au kilaini?
Mkuuu, nmeshindwa jibu kwwnza, isije kuwa tungo imekaaa kifasihi.
Hii thread sio ya kawaida kama ipo MMU basi itakuwa na utata. Anyway napenda nyanya. Ova
Napenda nyanya
Unaweza ila kama tunda
Unaweza tumia kama kachumbari
Unaweza tumia kama kiungo cha chakula
Nyanya , biringanya ongezea na Hoho hapoo....Unapenda nyanya, biringani, au bamia?
Interesting...
Nyanya , biringanya ongezea na Hoho hapoo....
Kijani, huhHoho ya rangi gani...kijani...manjano...nyekundu...ama ya rangi ya chungwa?
Rather ambiguous. .Rather intriguing...
And more confusingRather ambiguous. .
And more confusing