Kipi kiwanda kikubwa kati ya Twiga Cement na Simba Cement?

mtungu

JF-Expert Member
Dec 15, 2021
247
400
Kipi kinazalisha tani nyingi kwa siku na kipi kinajitosheleza kwa kila kitu na nini tofauti ya 32.5R na 32.5N au 42.5N na 42.5R kwanini inayotumika zaidi kwenye soko ni 32.5R au 42.5R hii 32.5N au 42.5N ni nadra sana kuiyona.
 
Twiga Wanazarisha zaidi kuliko Simba, Twiga wana Viwanda 2 kwa wakati mmoja na vyote vinafanya kazi, kuna Kiwanda cha zamani cha Mjerumani, na kiwanda kipya kilichojengwa na Mchina...!
 
Twiga Cement ndio kiwanda kikubwa cha kuzalisha cement Tanzania. Viwanda vingine vya cement nchi hii bado havijafikia maboresho na utalaamu wa Twiga Cement.
 
Na mifuko anayotumia kufungia hiyo siment ananunua toka Kwa braza bakhresa
 
Back
Top Bottom