Wapenda kipi kati ya hivi?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,196
113,462
Kati ya nyanya, biringani, na bamia wewe wapenda kipi?

Na wakipendea nini hasa?

Ni kitamu au kichachu?

Ni kigumu au kilaini?
 
Hii thread sio ya kawaida kama ipo MMU basi itakuwa na utata. Anyway napenda nyanya. Ova
 
Napenda nyanya
Unaweza ila kama tunda
Unaweza tumia kama kachumbari
Unaweza tumia kama kiungo cha chakula
 
Hii mada nadhani itakuwa kwa wanawake tu, manake kuna kamtego fulani kwenye hayo masuali.:confused: Mwanaume rijali hajibu hii kitu acha nitolee macho tu
 
Back
Top Bottom