Wapare Wamewakosea Nini Jmn...?. Khaaa.

Babu mpaka nakuonea wivu kumpata huyo mrembo jmn

Najua ameshapata huu ujumbe babu. Natumai atakuja hapa.
Asipokuja unambie. Kupata warembo kama hawa ni kuwa humble, nidhamu, uaminifu, heshima, kujali na uaminifu...

Ukitimiza hayo hapa unacheza kama utakavyo... maadam yeye anakujua ndo what matters... hii flitting nafanya anajua ni kuchangamsha kambi tu. Tatizo likakalake Mshana Jr linaweka wivu wa kijinga tu. Shenzy sana huyu jamaa
 
Hahahaa acheni kupenda wali ila katika watu wanao onewa dahh
Wasukuma wanyakyusa na wachaga
 
Chakula pendwa na cha asili kwa wapare ni MAKANDE, acheni kuwasingizia....
 

Kweli nimeamini kuna wivu unawekwa na kaka yake aisee coz sijamuona mpaka sasa hivi mrembo hajaja babu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…