Ndyo niutani kwa kuwa ni dhihaka ambazo hazina lengo la kumdhalilisha mtu!Haaaaa, kwa hiyo huu ni utani mkuu...?
Kwa nini wasukuma na si wapare mkuu mbona kila kabila lina weakness zake mkuuWapare hatuko hivyo Labda Wasukuma
@kioo ukweli ninini?
Usio Uongo@kioo ukweli ninini?
Unazidi kunitatiza uongo ninini...?Usio Uongo