Ebu ngoja nione kama NAHUJA atapita huku..... tehteehhh
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Nimeshindwa ni comment nini hapo!!!
KIOO ni usiku KIASU. Na kwa taarifa yako hakuna kabila linaloitwa M/WAPARE bali M/WAASU yaani watu wanao ATHA VUTA wapiga mishale.
Kujua KIKOLO/CHIMBUKO chako raha sana aisee