ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,850
Hujawahi kupata shida ww.....Weka kisa chako na jinsi gani ulivyofanikiwa kwepa kizinga au kukidhibiti.
Iwe katika mahusiano, biashara hata kwa watoto wakiwa bweni au vyuoni maana nao wameingia kwa kasi.
Nb: Ni kwa faida ya kujikinga kuvunjwa goti.
hahahahah kwa kweli aisee hakuna formula maalumu muhimu inategemea mazingira yaliyopo, mpiga kizinga kajaje, mood iliyopo wakati huo hata status na mahusiano uliyo nayo na mpiga kizinga. Kwa mfano jinsi unavyomtoka baamedi ni tofauti na mchepuko au mzazi mwenzio mliyetengana, hata miujiza ya messi inategemea na ukuta wa timu pinzaniKizinga ana kwa ana au Cha kwenye simu?
Sinaga mbinu kamili, ila kila mbinu ntakayokuja nayo huwa na matokeo chanya.
Kwa nini mkuuHujawahi kupata shida ww.....
Nakumbuka wakati nipo chuo nilikuwa nimechacha balaa!Kwa nini mkuu
kipindi nasoma mkopo ilikua wakikaNakumbuka wakati nipo chuo nilikuwa nimechacha balaa!
nilikuwa naishi kwa vizinga tu
[emoji23] ila shukuru mungu yeye Ni 15k tuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itapatikana kibingwaa tuu
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Bahati yako mkuu...kipindi nasoma mkopo ilikua wakika
Sikuwahi unga maisha na fan niliyosoma pia ilinipa upo kulima, kufuga,kutibu mitaani so sikua na unga kabisaa
Nilikua hadi natuma pesa nyumbani
Vinashusha pato sanaVizinga ni vya kukwepa kipindi hiki hapa ni darasa tosha
Vipi wewe hukwepa namna gani kizinga?Bahati yako mkuu...
hahahaha kuna jamaa alishawaacha jamaa bondi baa wazee wa vizinga, alikuwa baa anakunywa wakatokea akawakaribisha vizuri na kama kawaida yao akawaagizia na yeye akaendelea alivyotosheka kuna usanii akafanya kama anainuka kidogo na bia yake imebaki nusu ndio akaachia manyoya jamaa bia walizokunywa ziliwatokea puani maana hata katika simu ilikuwa hapatikani bilabilaNakumbuka wakati nipo chuo nilikuwa nimechacha balaa!
nilikuwa naishi kwa vizinga tu
[emoji23][emoji23][emoji23] uyo safi sanahahahaha kuna jamaa alishawaacha jamaa bondi baa wazee wa vizinga, alikuwa baa anakunywa wakatokea akawakaribisha vizuri na kama kawaida yao akawaagizia na yeye akaendelea alivyotosheka kuna usanii akafanya kama anainuka kidogo na bia yake imebaki nusu ndio akaachia manyoya jamaa bia walizokunywa ziliwatokea puani maana hata katika simu ilikuwa hapatikani bilabila
[emoji23][emoji23][emoji119]Ukipokea simu kimakosa sema nitakutumia halafu hutumi. Ukitumiwa msg ya kizinga usijibu chochote, potezea
Kupatwa kwa mdeni mkuu[emoji23][emoji23]Dah jana nimeota nayemdai kanilipa hela ndotoni [emoji23][emoji23][emoji23] hii inaashiria nini?
Hahahhahahajja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na vijana akijua umesoma anakuchapa kizinga kisomi hadi ukija shituka unabaki kujipongeza Ni bao langu saa nifanyaje.
[emoji23][emoji23] mkuu hujapokea kizinga chochote kuelekea 14 febHahahhahahajja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]