Wapangaji wangu wanabadilishana wake zao

Bila kuwachosha wakuu.

Kkama kichwa cha habara kisemavyo kila baada ya siku mbili wa huku anakwenda kule, na wakule anakuja huku. mimi nimegundua leo asubuhi.

Wangapaji wenzao wanasema( they keet it as secret) Mausiano yao ni (sexual, emotional, spiritual and different combination) when i had ask them . answ from them (the enjoyed when being engaged also enjoyed the defferent which god brougth to them ).

Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini kama baba mwenye nyumba!

weka kwanza picha tuwaone ndio tulijadili..
 
Vip Hamna Chumba Kilichobaki? Maana Naweza Kikahamia Kwako Hii Kitu Nimeipenda
 
Kaa mbali na wapangaji wako. Hakikisha wanalipa kodi tu
 
baba mwenye nyumba sasa wewe kuwakomoa omba zamu yako, tena siku hiyo unalala nao wote jamaa zao wapigwe na baridi!
 
Kama una mke mwenye nyumba si ajabu na yeye yumo kwenye shift wewe hujui tu
 
Bila kuwachosha wakuu.

Kkama kichwa cha habara kisemavyo kila baada ya siku mbili wa huku anakwenda kule, na wakule anakuja huku. mimi nimegundua leo asubuhi.

Wangapaji wenzao wanasema( they keet it as secret) Mausiano yao ni (sexual, emotional, spiritual and different combination) when i had ask them . answ from them (the enjoyed when being engaged also enjoyed the defferent which god brougth to them ).

Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini kama baba mwenye nyumba!

Hayakuhusu, wewe c unapokea kodi yako au? Mwanaume mmbeya!
 
Wewe yako ni kodi tu, mapenzi yao hayakuhusu. Alafu unachanganyikiwa kwa vitu ambavyo hata havikuhusu.
 
Back
Top Bottom