FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Huyo pengine ana afadhali, nina mdingi wangu mmoja yeye hajawahi kupanga tangu enzi za ujana wake wote, alijaliwa kuwa na mijumba tele. Baadaye alikuja kupata kimwana akamwendesha, akauza nyumba zote. Hakupanga ujanani amekuja kupanga uzeeni.
Huyu naye mwisho wake ni vipi?
Huyu mwisho wake atakuja kuomba hifadhi kwenu anaelekea kufulia katika maisha