Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,458
jana wapangaji wa NHC keko, walitaka kuandamana, kisa ati hawataki kuhamishwa kwenye nyumba hizo ambazo wamekaa karibia wengine miaka 40. jambo nililojiuliza ni hili KWANI HIZO NYUMBA NI ZA WATZ MAALUMU TU si za watz wote? kwasababu wengine wamepata opportunity kuishi kwenye nyumba hizo miaka zaidi ya 20, wengine hata kupata tu tunashindwa hata kama pesa tunayo na uhitaji wa nyumba tunao. ukiangalia, NHC wamewapa notice ya miezi sita(6) wala si mwezi mmoja kama inavyotakiwa, lakini wao hawataki kuhama wanataka kuuziwa hizo nyumba.
mwenye nyumba NHC anataka wahame wao wanasema hawataki kuhama na wanataka kuandamana, hivi watz tunaandamana katika kila jambo jamani? na, kama hizo nyumba wanataka kuja kuziboresha na kuziuza au kama wamempa mwekezaji sijui, WANATAKIWA WAWEKE UWANJA SAWA KWA WATZ WOTE WACOMPETE NA KUZIPATA, WASIPENDELEE WALE WALIOKUWA WANAISHI KWENYE NYUMBA ZILE AMBAO TAYARI WALISHAZIFAIDI, sisi wengine ambao hata hatujawahi kukaa kwenye hizo nyumba hatujazifaidi hata kidogo wanataka kutuweka pembeni ili watoe opportunity kwa wale ambao walishazifaidi kwa kodi ya chini na kwa miaka mingiii, na wengi wao WAMEJENGA MAJUMBA MTAANI NA KUPANGISHA halafu wao wakarudi kuishi kwenye zile nyumba za NHC.
hivyohivyo inatakiwa iwe kwa hao watu wenye asili ya india upanga, kariakoo na mnazimmoja na uhindini tz nzima. kama NHC ni shirika la watz wote, panatakiwa pawe na uwanja sawa kwa watz wote kushindana ili waishi kwenye nyumba hizo either kwa kununua au kwa kupanga, na zaidi sana wale ambao walishazifaidi hizo nyumba, wawekwe pembeni ili watz ambao hawajawahi kuishi kwenye hizo nyumba za bei rais kama hizo nao wapate nafasi kufaidi shirika la serikali yao.