WAPANGAJI NATIONAL HOUSING wanapokataa kuhama na kutaka kuandamana!

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,537
6,458
jana wapangaji wa NHC keko, walitaka kuandamana, kisa ati hawataki kuhamishwa kwenye nyumba hizo ambazo wamekaa karibia wengine miaka 40. jambo nililojiuliza ni hili KWANI HIZO NYUMBA NI ZA WATZ MAALUMU TU si za watz wote? kwasababu wengine wamepata opportunity kuishi kwenye nyumba hizo miaka zaidi ya 20, wengine hata kupata tu tunashindwa hata kama pesa tunayo na uhitaji wa nyumba tunao. ukiangalia, NHC wamewapa notice ya miezi sita(6) wala si mwezi mmoja kama inavyotakiwa, lakini wao hawataki kuhama wanataka kuuziwa hizo nyumba.

mwenye nyumba NHC anataka wahame wao wanasema hawataki kuhama na wanataka kuandamana, hivi watz tunaandamana katika kila jambo jamani? na, kama hizo nyumba wanataka kuja kuziboresha na kuziuza au kama wamempa mwekezaji sijui, WANATAKIWA WAWEKE UWANJA SAWA KWA WATZ WOTE WACOMPETE NA KUZIPATA, WASIPENDELEE WALE WALIOKUWA WANAISHI KWENYE NYUMBA ZILE AMBAO TAYARI WALISHAZIFAIDI, sisi wengine ambao hata hatujawahi kukaa kwenye hizo nyumba hatujazifaidi hata kidogo wanataka kutuweka pembeni ili watoe opportunity kwa wale ambao walishazifaidi kwa kodi ya chini na kwa miaka mingiii, na wengi wao WAMEJENGA MAJUMBA MTAANI NA KUPANGISHA halafu wao wakarudi kuishi kwenye zile nyumba za NHC.

hivyohivyo inatakiwa iwe kwa hao watu wenye asili ya india upanga, kariakoo na mnazimmoja na uhindini tz nzima. kama NHC ni shirika la watz wote, panatakiwa pawe na uwanja sawa kwa watz wote kushindana ili waishi kwenye nyumba hizo either kwa kununua au kwa kupanga, na zaidi sana wale ambao walishazifaidi hizo nyumba, wawekwe pembeni ili watz ambao hawajawahi kuishi kwenye hizo nyumba za bei rais kama hizo nao wapate nafasi kufaidi shirika la serikali yao.
 
Wanaogoma kuhama wala si wapangaji wa NHC ni wamiliki wa hizo nyumba za NHC ambao wengine ni wafanyakazi wa NHC yenyewe ambao hupangisha wengine kwa bei za kuruka au wameweka watu wao kujikalia kwenye hizo nyumba kwa misingi kuwa baadaye wajiuzie kupitia Proxies! Nani asiyejua siasa na ufisadi wa wafanyakazi wa NHC?

Nyumba unakuta ya NHC mhindi analipa mamilioni ya kodi kwa mwezi ukienda NHC unakuta kuna jina la mpangaji mswahili aliyeuza pango kwa mhindi kazi yake kwenda kulipia vihela kiduchu NHC na kupokea mamilioni kwa mhindi au mpangaji proxy.

Mpangaji kugoma kuhama hakuna kitu kama hicho kama kinafanyika kulingana na mkataba wa upangaji.Kuishi nyumba ya mtu hata miaka hata mia hakumfanyi mpangaji awe mwenye nyumba hivyo akipewa notisi hawezi goma.

Hizo nyumba kwanza kuzipata ulikuwa ufisadi,upendeleo,rushwa n.k Hazikuwa zitolewa kwa uwazi.Hapo kuna mafisadi ndani ya NHC au vigogo waliojipa kifisadi hizo flat enzi hizo wana sauti na connections na vigogo serikalini na kwenye chama sasa wanataka kuhalalisha kujimilikisha.

Mchechu mkurugenzi wa NHC komaa "the so called" wapangaji wasikutishie nyau!
 
ndio leo nasikia kuwa hao sio wapangaji, ni wamiliki wa nyumba za NHC. miezi sita ni mingi sana, mimi kipindi napanga nyumba nilikuwa nalipa garama kubwa kuliko hata hiyo ya nyumba za NHC. ila wasikilizwe na wapewe nafasi ya kujieleza/kusikilizwa ndipo wafukuzwe.
 
Kuna amabao nawafahamu wamejenga nyumba zao na kupangisha, ila wanataka waendelee kukaa apo ili walipe elfu 40 nyumba nzima.
Wapigwe tu tumechoka.
 
jana wapangaji wa NHC keko, walitaka kuandamana, kisa ati hawataki kuhamishwa kwenye nyumba hizo ambazo wamekaa karibia wengine miaka 40. jambo nililojiuliza ni hili KWANI HIZO NYUMBA NI ZA WATZ MAALUMU TU si za watz wote? kwasababu wengine wamepata opportunity kuishi kwenye nyumba hizo miaka zaidi ya 20, wengine hata kupata tu tunashindwa hata kama pesa tunayo na uhitaji wa nyumba tunao. ukiangalia, NHC wamewapa notice ya miezi sita(6) wala si mwezi mmoja kama inavyotakiwa, lakini wao hawataki kuhama wanataka kuuziwa hizo nyumba.

mwenye nyumba NHC anataka wahame wao wanasema hawataki kuhama na wanataka kuandamana, hivi watz tunaandamana katika kila jambo jamani? na, kama hizo nyumba wanataka kuja kuziboresha na kuziuza au kama wamempa mwekezaji sijui, WANATAKIWA WAWEKE UWANJA SAWA KWA WATZ WOTE WACOMPETE NA KUZIPATA, WASIPENDELEE WALE WALIOKUWA WANAISHI KWENYE NYUMBA ZILE AMBAO TAYARI WALISHAZIFAIDI, sisi wengine ambao hata hatujawahi kukaa kwenye hizo nyumba hatujazifaidi hata kidogo wanataka kutuweka pembeni ili watoe opportunity kwa wale ambao walishazifaidi kwa kodi ya chini na kwa miaka mingiii, na wengi wao WAMEJENGA MAJUMBA MTAANI NA KUPANGISHA halafu wao wakarudi kuishi kwenye zile nyumba za NHC.

hivyohivyo inatakiwa iwe kwa hao watu wenye asili ya india upanga, kariakoo na mnazimmoja na uhindini tz nzima. kama NHC ni shirika la watz wote, panatakiwa pawe na uwanja sawa kwa watz wote kushindana ili waishi kwenye nyumba hizo either kwa kununua au kwa kupanga, na zaidi sana wale ambao walishazifaidi hizo nyumba, wawekwe pembeni ili watz ambao hawajawahi kuishi kwenye hizo nyumba za bei rais kama hizo nao wapate nafasi kufaidi shirika la serikali yao.
Wewe ndio pimbi wa mapimbi kama una cha kuandika acha kuja kuandika ubwege wako humu.

Jamaa bado tu hawajafungulia kesi hili shirika, kuna viwanja sehemu ngapi Dar Es Salaam vya kujenga mpaka watoe wapangaji. Kwanini wavunje wakati huwana sehemu za kuwapeleka wapangaji wakakae, vilevile unasema kuna uhaba wa makazi why not increase the numbers zaidi ya kutaka kuvunja sehemu zenye masoko tu ya wapangaji why not build elsewhere.
 
Nadhani dhana ya kupanga NHC ni kukupa muda at least miaka mitano ujikusanye vizuri na kununua kasehemu na baadae miaka kama maximum mitatu ya kujenga kajumba kazuri kuliko hapa pa NHC na kuamia. Hii itawapa fursa ya wengine pia kupitia njia hiyo hiyo.

Sasa uking'ang'ania na kuona tamu hadi kulia jamani!!!! Haijakaa vema.

Tujipange vizuri, kila kitu kinawezekana.

Tofali moja zuri ni 1000/=, matofali 1500 = milioni moja na laki tano tu na utajenga kubwa kuliko hiyo unayoing'ang'ania.

Tuwe na adabu na matumizi ya pesa tunazozipata.
 
Mbona mapovu mengi babu! Umeguswa? Au ni mmoja wao 40 years unapanga!
 
Nadhani dhana ya kupanga NHC ni kukupa muda at least miaka mitano ujikusanye vizuri na kununua kasehemu na baadae miaka kama maximum mitatu ya kujenga kajumba kazuri kuliko hapa pa NHC na kuamia. Hii itawapa fursa ya wengine pia kupitia njia hiyo hiyo.

Sasa uking'ang'ania na kuona tamu hadi kulia jamani!!!! Haijakaa vema.

Tujipange vizuri, kila kitu kinawezekana.

Tofali moja zuri ni 1000/=, matofali 1500 = milioni moja na laki tano tu na utajenga kubwa kuliko hiyo unayoing'ang'ania.

Tuwe na adabu na matumizi ya pesa tunazozipata.
Kwani tatizo ni kujenga tu, kwanini na wao wasiongeze idadi ya nyumba zao kwa hesabu hizo hizo. Badala ya huu utaratibu wa vunja vunja tu. Suala si kujenga peke bali pia makazi, communities zimekaa kwa muda mrefu na pia haki ya mwananchi kupata sehemu za kuishi.

Nia na madhumuni la shirika umma ni kuwapa nafasi wafanyakazi wa serikali walio na mapato ya chini kuweza kuishi kwa nafuu, serikali ikijua mishahara yake mara nyingi aishindani na ya sekta binafsi. Sasa leo dokta tu kupanga tabu itakuwa Mwalimu wa shule ya msingi, hakuna incentives kabisa za kuwa mzalendo chini ya CCM ya sasa. Halafu tunashangaa watu wengi option ya kulitumikia taifa kwa moyo wa dhati inakua tabu labda wapelekwe BoT au kwengine kwenye mshiko.

Hizi tabia za kupachika watu wasio na huwezo wala vision zina madhara watu hawana ubunifu hata chembe, wanakwenda kuwekwa sehemu sensitive za jamii, halafu wananchi hata hawajawahi kusema eti waandike barua kwa mmbunge wao, kuhusu uvunjifu wa katiba huyo mmbunge ana shughuli gani sasa wakati kamwe local problems kwake si tija, wakwetu kwakweli inabidi atoke CCM ikimweka yuleyule na isipoleta mgombea imara safiri ijayo tutapiga kura hata wa upinzani tumechoka na huu ujinga.

Huyo mama Tibaijuka ndio mzigo mwengine nae useless angebaki huko huko Muleba or wherever she is representing maana kukiwa na outbreaks huko za communicable disease ndio anakojali utamuona mbio keshafika mambo ya wizara na matatizo yake kama hayaoni useless kabisa yule mama.
 
KUna baadhi ya ndugu zetu wa kutoka Kusini ambao walienea kwenye mapagale mengi kule Mikochezi, Msasani, Masaki, Mbezi etc. Mwisho wa siku wapo waliogoma kuhama baada ya kuambiwa na wamiliki wahame ili wakamilishe nyumba. Madhara ya kuwaachia watu wakae sehemu moja muda mrefu ndiyo hayo! Wamezaa watoto na kupata wajukuu, hayo wanayatumia kama kigezo cha kuendelea kuishi hapo bila kujua nyumba za NHC ni za Watanzania wote.
 
KAMA wakiondolewa CCM ITAPATA PIGO KUBWA SANA , moja ya hoja iliyompa ubunge ABBAS MTEMVU ni utapeli wake wa kuwadanganya wakazi hao kwamba atahakikisha analishawishi NHC kuwauzia nyumba hizo wapangaji wake ,imekula kwao ! kuna ninaowajua pale hadi wamekongoroka hawana hata pa kwenda , wamekula bata hadi wamechoka , tusubiri kuona vichekesho .
 
Wewe ndio pimbi wa mapimbi kama una cha kuandika acha kuja kuandika ubwege wako humu.

Jamaa bado tu hawajafungulia kesi hili shirika, kuna viwanja sehemu ngapi Dar Es Salaam vya kujenga mpaka watoe wapangaji. Kwanini wavunje wakati huwana sehemu za kuwapeleka wapangaji wakakae, vilevile unasema kuna uhaba wa makazi why not increase the numbers zaidi ya kutaka kuvunja sehemu zenye masoko tu ya wapangaji why not build elsewhere.
huyu mjinga kweli, unazijua kesi wewe, ukamfungulie mwenye nyumba kesi na amekupatia notice ya miezi sita badala ya mwezi mmoja, haki ya nani unajua watu wakikaa nyumba za NHC wanabadilika akili wanakuwa kama mademu ndio maana 40 years hawajajenga wanapanga. au ninyi ni watz zaidi ya sisi wengine? pumbavvvvvvvvvvvv
 
Back
Top Bottom