Wapambe Wa Bi. Harusi Nao Wamo!

Baadhi ya wapambe nawapata vizuri sidhani kama una idhini ya kubandika picha humu au unafahamiana nao wote??
 
hao wenye njano wanapendeza sana ila wengine colour zimezidi bluuuuuuuuuuuu all the way naaa naaaa
 
Baadhi ya wapambe nawapata vizuri sidhani kama una idhini ya kubandika picha humu au unafahamiana nao wote??

mbona picha hazina ubaya jamani muweka post anatuonyesha na sisi tunaweza kuchagua sare kupitia hapo
Thanks Allien
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…