Mkuu hii vita ilianza mara baada kuwachukua mateka?Walishaambuwa, wawaachie mateka vita vitaisha hata leo. Wameshupaza shingo Sasa waendelee kuishi kwenye mashimo kama panya
Kwani wameshindwa kuishi na nani?Hivi hawa wapalestina wanaweza kuishi pamoja na watalebani? Maana ni waislam kindakindaki, au kuna tofauti ya imani hiyo? Wote hawa ni wapenda vita na imani kali ya kiislam, jihadi, mujahidina
Basi hakuna jamii ngumu kuishi nayo kama Wayahudi, wao ndio wanajiona ni binadamu wa daraja la kwanza hapa Duniani.Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko.
Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
wameshindwa kuishi na waisraeliKwani wameshindwa kuishi na nani?
Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko.
Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
Walishaambuwa, wawaachie mateka vita vitaisha hata leo. Wameshupaza shingo Sasa waendelee kuishi kwenye mashimo kama panya
kama issue ni mateka maana yake una maanisha oktoba 6 2023 kurudi nyuma walikua huru ? , kuna muda watu mtumie akili sio kufata mobWalishaambuwa, wawaachie mateka vita vitaisha hata leo. Wameshupaza shingo Sasa waendelee kuishi kwenye mashimo kama panya
WAPALESTINA NI WAVAMIZI KWA MUJIBU WA QURANKwani yule jambawazi anayeshikilia ardhi ya wenzake bado angali ang'ang'ana?
Hao ni wavamizi wanatakiwa waondoke hapokama issue ni mateka maana yake una maanisha oktoba 6 2023 kurudi nyuma walikua huru ? , kuna muda watu mtumie akili sio kufata mob
Hao ni wavamizi wanatakiwa waondoke hapo
Na wataondoka
Quran yenu ndio inawaumbua ,hao Wapalestina kasome historia waliletwa na nani hapo hata hilo jina Palestine wamepewa na wamagharib waliowaweka hapoAIPAC ina hali mbaya sana huko mkuu , mstue na echolima ni suala la muda.
waondoke wanaenda wapi mkuu kama wangoni tu wametoka kwa madiba? kina trump wenyewe tu wengi wametoka ulaya? "UPENDO" gang hili suala linawafichua vizuri sana maana mnasemaga kobazi hawana "upendo"
tafakari sana
Nakusaidia hili pia maana nyie wenzetu siasa za Dunia hamjui zinavyokwendaAIPAC ina hali mbaya sana huko mkuu , mstue na echolima ni suala la muda.
waondoke wanaenda wapi mkuu kama wangoni tu wametoka kwa madiba? kina trump wenyewe tu wengi wametoka ulaya? "UPENDO" gang hili suala linawafichua vizuri sana maana mnasemaga kobazi hawana "upendo"
tafakari sana
ofcourse marekani ni kizuizi kikubwa , hizi politics nazifahamu na nazifatiliaNakusaidia hili pia maana nyie wenzetu siasa za Dunia hamjui zinavyokwenda
Mchakato mzima wa maamuzi ya dunia unaamuliwa USA na Ulaya magharibi. Hao ndio wakisema taifa la Palestina liwepo litakuwepo, nje ya hao hakuna linalowezekana. Toka wazungu wa magharibi wameanza vuguvugu la kutaka taifa la Palestina, mataifa mengine nayo yameunga juhudi. Lakini maamuzi hayo hayatapita maana USA imepinga kwa veto. Na imeshafanya hivyo zaidi ya mara 40. Labda USA ibadilishe maamuzi ama ianguke ndio itawezekana. Trump ni pro Israeli.
quran , bible kwenye huu mgogoro mimi mtu akivitaja tu hivyo vitabu na kuniambia imeandikwa , imetabiriwa na unabii unatimia ( maana mpaka sasa kwenye kila kitabu kila mt anakwambia unabii unatimia) namuona hana akili , huu msimamo nipo nao kitambo sanaQuran yenu ndio inawaumbua ,hao Wapalestina kasome historia waliletwa na nani hapo hata hilo jina Palestine wamepewa na wamagharib waliowaweka hapo
Kama tukisoma Qur’an yenyewe, inaonyesha wazi kwamba ardhi mnayosema ya Palestina WALIPEWA Waisraeli
Surah Al-Ma’idah 5:21
“Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amewaandikia...”
➡️ Hapo Musa anawaambia Waisraeli (Bani Israil) kwamba Mungu amewaandikia ardhi hiyo. Si Waarabu, si Wapalestina bali Waisraeli.
Surah Ash-Shu’ara 26:59
“Na tukawarithisha wana wa Israil.”
Surah Al-A’raf 7:137
“Na tukawarithisha watu waliokuwa wakidharauliwa (Wana wa Israeli) mashariki ya ardhi na magharibi yake, tuliyoibariki...”
Kwa hiyo Qur’an yenu inakiri kwamba
1️⃣ Ardhi ya Kanaani (Palestina) ilichaguliwa kwa ajili ya Waisraeli.
2️⃣ Wapalestina wa leo (ambao ni Waarabu) walikuja baadaye kihistoria.
3️⃣ Hivyo, kwa mujibu wa Qur’an yenyewe, Wapalestina ni wavamizi wa ardhi ya Waisraeli.
Huwezi kukwepa dini kwenye huu mgogoro labda ujitoe fahamu tuquran , bible kwenye huu mgogoro mimi mtu akivitaja tu hivyo vitabu na kuniambia imeandikwa , imetabiriwa na unabii unatimia ( maana mpaka sasa kwenye kila kitabu kila mt anakwambia unabii unatimia) namuona hana akili , huu msimamo nipo nao kitambo sana