Na giza likiingia warudi majumbani mwao walale!Dakika 30 zilizopita Israel imewatangazia wananchi wao wako huru kurudi mtaani na kuendelea na shughuli kama kawaida😃😃😃
Mungu aiweke roho yake mahala panapostahiliYuko motoni kuzimu saivi, kamanda wa navy aliyewashambulia Yemeni mara ya mwisho
Hana huo uwezo angekuwa nao angeshafanya miaka mingi iliyopitaHii ndio nafasi adhimu ya IRAN kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia.......yaani Iran ikichezea nafasi hii ndio basi tena
Wazishushe..msije kuanza kulia kuhusu WANAWAKE na watotoKubababake Iran wana balaa hizo missiles zote zimetua kwenye ardhi ya Israel? Hawa kweli wakiamua kuifuta Israel wanaweza nawaza wakizishusha hizo kombora kwenye makazi ya watu itakuaje
That will never happenHii ndio nafasi adhimu ya IRAN kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia.......yaani Iran ikichezea nafasi hii ndio basi tena
Kwahiyo Traore ni mkatoliki? Unewazidi nini Egypt, Algeria, Morocco, Nigeria kwa Africa tu ili tukuambie wewe majnun kuwa hiyo Tanzania ya Wakatoliki ilizalisha nini cha maana zaid ya ujinga? Kama Kenya wamekuzidi kwakuwa hawajawa na Rais Muislam je Burundi ishawahi kuwa makao makuu ya Uislam? Ukiambiwa una akili ndogo unaweza kuhisi tusi kumbe ni ukweliKenya wametuzidi vitu vingi kwa sababu hawajawahi kuwa na Rais mvaa makobazi. Tanzania nzima hakuna shule, hospitali wala chuo kilichojengwa na waarabu. Halafu bado una swali swala tano. Walimfuata Traore wakimwambia wanataka kujenga misikiti 500. Jamaa kawaambia anahitaji vitu muhimu hataki misikiti wamekimbia.
Kupitia hii clip nimegundua, target ilikuwa kupiga mfumo wa ulinzi ila drone imekosa padogo sanaSi Kweli, kila siku Iran akitaka kupiga makombora yake a natanguliza vikombora ama vidrone mbele then kombora zenyewe zinafuatia, Iron dome iki intercept zile drone nyie mnaona ndio makombora yanakua intercepted ila uhalisia ni kwamba Lile kombora linapiga mpaka linatoa Madhara ndio unaona system ina intercept hewa jinsi ilivyo na speed kubwa.
Ushahidi wa Video huu hapa wa jioni hii
View attachment 3367402
Tel Aviv hapo angalia kombora limepiga kabisa ndio defence ina intercept hewa
Mkuu endelea kula mkono mzee na baby care yako .. kule teyari wakuu 16 washalamba vumbi na raia 224 teyari nao wameunga mkono kufata mabikra 72 haera.na mie kobazi correspondent toka Mvuti na-cover matukio in real time Hamisi
Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi
❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel:
▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory
▪️Iran's retaliatory operation against Israel was named "True Promise 3"
▪️Explosions rocked Tel Aviv and Jerusalem
▪️Israel's emergency medical service reported five casualties in the Tel Aviv area
▪️Several missiles fired by Iran hit the Israeli National Security Ministry building
▪️The Iranian Armed Forces struck dozens of targets in Israel, military and air bases
▪️The Israeli leadership has "unleashed a war" on Iran, and the Islamic Republic will not let it remain unscathed, the Iranian Supreme leader said
Photo: AP Photo/Tomer Neuberg/Leo Correa