Waonyesha uwezo wao Tel aviv na Jerusalem hapakaliki

Waonyesha uwezo wao Tel aviv na Jerusalem hapakaliki

Kubababake Iran wana balaa hizo missiles zote zimetua kwenye ardhi ya Israel? Hawa kweli wakiamua kuifuta Israel wanaweza nawaza wakizishusha hizo kombora kwenye makazi ya watu itakuaje
Wamerusha mabomu 100 ngoja tuone kama yote yatatua Israel 😁😁😁
Kasome Quran kuhusu Israel inasemaje?
 
Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi

❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel:

▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory

▪️Iran's retaliatory operation against Israel was named "True Promise 3"

▪️Explosions rocked Tel Aviv and Jerusalem

▪️Israel's emergency medical service reported five casualties in the Tel Aviv area

▪️Several missiles fired by Iran hit the Israeli National Security Ministry building

▪️The Iranian Armed Forces struck dozens of targets in Israel, military and air bases

▪️The Israeli leadership has "unleashed a war" on Iran, and the Islamic Republic will not let it remain unscathed, the Iranian Supreme leader said

Photo: AP Photo/Tomer Neuberg/Leo Correa

Hii report ya awali kabisa Mkuu.....Unasemaje>>>?

5:00 p.m. EDTIran U.N. Ambassador Amir Saeid Iravani told the U.N. Security Council that 78 people are dead and 320 are injured, acknowledging the deaths of military officials and nuclear scientists but noting “the overwhelming majority” of the dead are civilians.

Unajua maana ya " military officials" na " Nuclear scientists"....... Tunasubiri taarifa mmeua nani hasa....!
 
Kubababake Iran wana balaa hizo missiles zote zimetua kwenye ardhi ya Israel? Hawa kweli wakiamua kuifuta Israel wanaweza nawaza wakizishusha hizo kombora kwenye makazi ya watu itakuaje

Lucha.....Mmeisha tangaza Vita....Tuone kama mnaweza kuifuta Israel chini ya Jua......Wazuri sana kwa kuropoka...

1 p.m., EDT Iran called Israel’s attack a “declaration of war,” according to Middle East Eye and AFP.

Mkishindwa kuifuta Israel na hiyo "Declaration of War" Ulimwengu utawashangaa....Wakati ni Huu....! Poleni sana!
 
We Echolima1 uko umenusurika huko au? We ni mtanzania mwenzetu mmakonde jaman mwenye namba yake atusaidie huyu kijana mara ya mwisho Alidai yuko mji wa mashoga Sasa mpaka Sasa 70 wameenda je yuko salama?
Mimi nilisharudi toka jumapili ya June 08,2025 Mimi si Mmakonde mimi ni Mmatumbi wa Kilwa-Kivinje., Mji wa mashoga wapi? Mombasa ,Tanga, Zanzibar au Dar-es-salaamu?
 
Yaani mtu anaeswali swala tano kwa siku na kuwakazania watoto madrasa badala ya shule anaweza kumzidi teknolojia anaesali mara moja kwa wiki ?
Mtu unajua kabisa akili huna, umebeba fuvu tu lakini unalazimisha kuongea mbele za watu wenye akili, Sasa ungekaa kimya si ungeficha madhaifu ya waliokuzaa kushindwa kusimamia utimamu wako? Ona sasa ubongo wako unavyohangaisha mdomo.
 
Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi

❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel:

▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory

▪️Iran's retaliatory operation against Israel was named "True Promise 3"

▪️Explosions rocked Tel Aviv and Jerusalem

▪️Israel's emergency medical service reported five casualties in the Tel Aviv area

▪️Several missiles fired by Iran hit the Israeli National Security Ministry building

▪️The Iranian Armed Forces struck dozens of targets in Israel, military and air bases

▪️The Israeli leadership has "unleashed a war" on Iran, and the Islamic Republic will not let it remain unscathed, the Iranian Supreme leader said

Photo: AP Photo/Tomer Neuberg/Leo Correa
 

Attachments

  • IMG_20250614_035039.jpg
    IMG_20250614_035039.jpg
    351.1 KB · Views: 18
  • IMG_20250614_035030.jpg
    IMG_20250614_035030.jpg
    134.4 KB · Views: 17
Si Kweli, kila siku Iran akitaka kupiga makombora yake a natanguliza vikombora ama vidrone mbele then kombora zenyewe zinafuatia, Iron dome iki intercept zile drone nyie mnaona ndio makombora yanakua intercepted ila uhalisia ni kwamba Lile kombora linapiga mpaka linatoa Madhara ndio unaona system ina intercept hewa jinsi ilivyo na speed kubwa.

Ushahidi wa Video huu hapa wa jioni hii
View attachment 3367402

Tel Aviv hapo angalia kombora limepiga kabisa ndio defence ina intercept hewa
Wamepiga makao makuu ya Jeshi yaani kama Pentagon ya Israel. Mungu ahebushilie mbali.
 
Mtu unajua kabisa akili huna, umebeba fuvu tu lakini unalazimisha kuongea mbele za watu wenye akili, Sasa ungekaa kimya si ungeficha madhaifu ya waliokuzaa kushindwa kusimamia utimamu wako? Ona sasa ubongo wako unavyohangaisha mdomo.
Kenya wametuzidi vitu vingi kwa sababu hawajawahi kuwa na Rais mvaa makobazi. Tanzania nzima hakuna shule, hospitali wala chuo kilichojengwa na waarabu. Halafu bado una swali swala tano. Walimfuata Traore wakimwambia wanataka kujenga misikiti 500. Jamaa kawaambia anahitaji vitu muhimu hataki misikiti wamekimbia.
 
Mimi nilisharudi toka jumapili ya June 08,2025 Mimi si Mmakonde mimi ni Mmatumbi wa Kilwa-Kivinje., Mji wa mashoga wapi? Mombasa ,Tanga, Zanzibar au Dar-es-salaamu?
Safi kabisa wewe ni ndugu yetu nilikuwa na wasiwasi Ayatollah sio poa yule dingi.
 
Hii ndio nafasi adhimu ya IRAN kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia.......yaani Iran ikichezea nafasi hii ndio basi tena
Iran ni dubwasha US anaelewa Hilo ndio maana US alionya kabla ila kamuacha toto tundu ili iwe fundisho next time, Iran anaweza kuifuta Israel muda wowote akitaka. Cha muhimu Iran ni kuangalia masnichi wa ndani ndio wanaiangusha serikali
 
Yuko motoni kuzimu saivi, kamanda wa navy aliyewashambulia Yemeni mara ya mwisho
 

Attachments

  • IMG_20250614_074904_413.jpg
    IMG_20250614_074904_413.jpg
    53 KB · Views: 24
Back
Top Bottom