dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,826
- 61,746
ile THAAD ivi iko wapi ? walisahau kuiwasha au vipiila waajemi wanajua kutuma package
ile THAAD ivi iko wapi ? walisahau kuiwasha au vipiila waajemi wanajua kutuma package
WaIran wa Buza kwa Limboa au sio?Daah yaani nawashangaa sana yaani hizi taarifa hata Aljazeera wenyewe hawana ile kuna Wairan wa Mkuranga wanazo....
Bonyokwa tena sio Maji Chumvi?Tunaangalia kwenye channels mbalimbali live halafu mnaokoteza viclip ,watu wa Bonyokwa mnafahamu zaidi kuliko waandishi wanaofanya live coverage, washenzi sana nye
Hizo picha zipo BBC .Daah yaani nawashangaa sana yaani hizi taarifa hata Aljazeera wenyewe hawana ile kuna Wairan wa Mkuranga wanazo....
Mkipigwa mnaanza kulialia ooh anaua watoto ooh kimekuajeila waajemi wanajua kutuma package
BBC ya kwa Mtogole?Hizo picha zipo BBC .
Na wamepiga BBC correspondents waliopo Israel.
Nenda BBC blog yao utazikuta.
Wacha ubishi .
Habari ina mkanganyiko.Dakika 30 zilizopita Israel imewatangazia wananchi wao wako huru kurudi mtaani na kuendelea na shughuli kama kawaida😃😃😃
Bundle unalo nenda Wacha ubishi wa kindezi na WA kitoto .BBC ya kwa Mtogole?
iyo imetunzwa siunajua stelingi huwa anapigolake la kumalizia,ile THAAD ivi iko wapi ? walisahau kuiwasha au vipi
hahahaha eti eehiyo imetunzwa siunajua stelingi huwa anapigolake la kumalizia,
vishindo vizito vile ni hypersonic missile..
The Islamic Republic News Agency confirmed these missile strikes, indicating the use of the Fattah-1 hypersonic missile.
The missile strikes were described as a response to Israel's recent attacks, which Iran labeled as "unprovoked."
Iran bwana wanarusha fataki huku Nchi inateketezwaaaagainst
Neta Kitambo Yuko kwene Andaki lake.View attachment 3367393
God Bless Iran
na mie kobazi correspondent toka Mvuti na-cover matukio in real time HamisiNeta Kitambo Yuko kwene Andaki lake.
Yaani mtu anaeswali swala tano kwa siku na kuwakazania watoto madrasa badala ya shule anaweza kumzidi teknolojia anaesali mara moja kwa wiki ?Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi
❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel:
▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory
▪️Iran's retaliatory operation against Israel was named "True Promise 3"
▪️Explosions rocked Tel Aviv and Jerusalem
▪️Israel's emergency medical service reported five casualties in the Tel Aviv area
▪️Several missiles fired by Iran hit the Israeli National Security Ministry building
▪️The Iranian Armed Forces struck dozens of targets in Israel, military and air bases
▪️The Israeli leadership has "unleashed a war" on Iran, and the Islamic Republic will not let it remain unscathed, the Iranian Supreme leader said
Photo: AP Photo/Tomer Neuberg/Leo Correa
Netflix Mossad wanakuja ku counter hizi habari.na mie kobazi correspondent toka Mvuti na-cover matukio in real time Hamisi
Mkuu, hii mvua ya wapi hii mkuu?? HahahahaaView attachment 3367393
God Bless Iran
Mkuu, hii masika ni balaa
izo ni Fattah-2 zikiipasua Tel AvivMkuu, hii mvua ya wapi hii mkuu?? Hahahahaa