Waogope sana hawa watu...!

Waogope sana hawa watu...!

Huyo namba tatu 3 nimemuelewa sana.Maana nina jamaa wangu mmoja hizo tabia zote anazo,mzee anatembea spidi kwelikweli chochoro zote anazijua.Halafu ni fundi mmoja hatari na shule hakwenda yani yeye alikua anazurula na mafundi wa zamani wale wazee ila siku hizi anasimamisha mpaka nguzo za ghorofa tano yeye akiwa msimamizi mkuu,unakuta injinia katoka shule akifika pale anasubiri maelekezo ya jamaa.
Jamaa anakusoma chap chap yan na huwezi sikia kaanzisha ugomv hata siku moja yan unaweza mzarau waziwazi halafu akaondoka bila hata kukujibu,hapa ndio nilimuona wa ajabu sana maana kunasiku alidharauliwa na fundi mmoja hivi wakati tupo site sababu tu yule fundi alisafirishwa na bos kutoka dsm kwa ndege mpaka site basi jamaa akaondok zake mdogo mdogo lakin baadae bos kaja kusikia yule fundi alizinguliwa na site akafukuzwa kabisa.Sasa nkabaki najiuliza kama huyu jamaa alijua kua anakubalika namna hile kwa bos mbona hakumwashia moto jamaa alipokuwa anamuoshea mbele ya wafanyakaz wengine?
Kweli hawa watu ni wa kukaa nao makini
 
Hakika mkuu!
Na mara nyingi wanatembea na expectation kichwani,yaan wana uwezo wa kupredict sana mambo ya mbeleni kuwa itakuwaje(kuona mambo kimbele mbele) na mwisho wa siku alichokitarget kinakuwa well calculated at 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom