Waogope sana hawa watu...!

Waogope sana hawa watu...!

yes mkuu!
Umenipa kitu cha kuongezea,ukiwa mtu halisi na kukubaliana na baadhi ya hali utafahamu mambo mengi sana
ukiwa mtu halisi sana kwenye maisha yako,utajua mambo mengi sana hata usiyoyataka.

heshimu watu
,usiwe mkurupukaji,
usiwe unaingilia mambo yasiyo kuhusu
,ukikerwa potezea kama huwezi tapika.

kuna mtu mtaani kwangu alishanikera vibaya sana na ananijua mimi ni mtu gani,ila sikumjibu wala kufanya chochote.akahama mtaa,kumbe mimi nilimpuuza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye dunia tunayoishi kuna aina nyingi za watu tofauti tofauti na tunaishi nao kwenye taasisi mbalimbali,barabarani na hata ndani ya jamii zetu

Cha muhimu ni kufamu aina ya mtu/watu ulio nao

Sasa waogope sana hawa watu:-



(1):Muogope sana mtu anayeongea na wewe huku akicheka + kukusifia[emoji2],hapa pana kama makundi mawili:

A-kundi la kwanza,hili kundi ni kama asili yao/kwao ni furaha tuu

B-kundi hili lina unafiki mkubwa sana! haswa kwenye kusifia na kucheka,sasa hawa kazi yao ni kupima maneno unayozungumza/kukuchora,kimoyomoyo anakuchota anachambua pumba na facts..pumba zikizidi ndio mwanzo wa kuonekana kilaza[emoji28] + ukatili mkubwa uliopo ndani yao,ila utamuona kama mtu mzuri.“Hawa ndio wakuogopa sana”



(2)Mtu anayeongea na wewe akikutazama usoni/machoni-kwenye hili kundi kuna watu wana kipaji cha kumsoma mtu kwenye mazungumzo haswa akikutazama usoni/machoni wanafamu mambo mengi sana kabla hata hajajua taarifa zako.Japo kuna wachache wengine tuu wanaangalia tuu kama furaha yao



(3)Watu waliopo serious + busy + speed kubwa ya kutembea + vituko visivyoeleweka-miongoni mwa watu wengi wanajichanganya na kuwachukulia watu waliopo kwenye kundi hili hawajui chochote kinachoendelea duniani kwa sababu ya ubize au useriazi walio nao[emoji28],kwa taarifa yako asilimia kubwa hawa ni watu makini sana na wana High intelligence haswa kwenye masuala ya Social skills..wanauwezo wa kufahamu mambo yanayoendelea kwenye mazingira waliopo pasipo hata kupata umbea wa mtu yeyote(social intelligent)/intelligence test kwa watu(jokes) + kuwasoma watu tabia. (Cha muhimu kwenye hili kundi ili muhusika aweze yote haya ni lazima awe anajielewe sana! na kwa jinsi watu wanavyomchukulia)








(4):Mtu Mkimya: Hapa ninahisi pana makundi kama matatu hivi:


A-Mkimya halisi ya mtu/mpole


B-Mkimya wa kiburi + dharau


C-Mkimya anayeamua kuwa Kimya-huyu kazi yake ni kuchora watu,kufanya mambo yao kichini chini bila wengine kujua hata mara nyingine kwenye vijiwe vya story hawachangii.“Hawa ndio wakuogopa sana”



(5)Watu wanaopenda utani(jokes)-hawa watu kuwa nao makini sana na pia chunguza ni nani unafanya naye utani may be mmezoeana ila kama sio! sikushauri kabisa, kuna watu wanakipaji cha kufanya masiara ili kukupima na kuchota taarifa zako bila wewe kujua unaanza kubwabwaja tuu!



Itaendelea..

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesomeka mkuu.
 
Hapo #3 na 6 zinashabihiana na tabia zangu ila sina IQ kubwa hivyo maana naona niko kawaida tu
Hao wanaokuangalia wanacheka wengi wao ni majizi tena wizi ule wa kimasikini kabisa wa kuweka hata mayai mfukoni wakiwa kwako au kukuibia vitu ambavyo hata akikuomba unaweza kumpa
Huu ushuhuda nimeuona kwa watu wanne tofauti


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hapo #3 na 6 zinashabihiana na tabia zangu ila sina IQ kubwa hivyo maana naona niko kawaida tu
Hao wanaokuangalia wanacheka wengi wao ni majizi tena wizi ule wa kimasikini kabisa wa kuweka hata mayai mfukoni wakiwa kwako au kukuibia vitu ambavyo hata akikuomba unaweza kumpa
Huu ushuhuda nimeuona kwa watu wanne tofauti


Sent from my iPhone using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa wizi wa kimaskini,ila upo sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom