Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 166
- 395
Hawa kataa ndoa ni chama cha waliofeli kwenye ndoa.
Wanadanganya watu ndoa ngumu ili watu waogope kuoa na kuolewa.ila yote n uongo ndoa hazifanani huwez jua bahati yako.