Kuna miaka nilikuwa km teja, bila pepsi msosi hauendi..
Asubuhi napiga moja, mchana kwenye msosi, usiku tena kwenye msosi..
Ile gesi ikipita kooni kuna namna inaburidisha koo, nsigida kwa nguvu kisha natoa ile gesi(mbwewe)
Ila siku hizi nimeacha soda, mwaka huu nimekunywa mara 3 sijui.