Wanyonge waanza kumiliki barabara

Nchi zite ambazo zinataka ku take off kiuchumi zipo hivyo nenda India bagkadesh na malasia uone mpaka barabara ya reli imezibwa wakati treni inataka kupita ndio wanaondoa bidhaa zao. Acha walalahoi wamiliki uchumi
 
Kuiga ujinga ujinga haisaidii.
 
Nchi zite ambazo zinataka ku take off kiuchumi zipo hivyo nenda India bagkadesh na malasia uone mpaka barabara ya reli imezibwa wakati treni inataka kupita ndio wanaondoa bidhaa zao. Acha walalahoi wamiliki uchumi
Walalahoi wanamiliki uchumi kwa kuziba barabara?!😬
 
Serikali ya CCM haina long-term solution, unategemea nini? Wakiambiwa kilimo ni uti wa mgongo wa kumkomboa mnyonge hawataki. Wanyonge wamekimbilia umachinga maana kilimo hakijawa na tija Tz.
Sahv watoto,vijana kila mtu anambiwa aingie kwenye bongo fleva anyoe kiduku
 
Ni sehemu ya script ya mama katika movie yake ya Hollywood inayohusu utalii.
Hata 'wanyonge' ni kivutio cha utalii.

Ila hapo kwenye kuonyesha sura za watu umekosea mkuu. Kuna watu wameaga kwa wake zao wapo mkoa kikazi halafu unawaanika wanachanja mbuga kariakoo.
Kwani picha zimewekewa tarehe?
 
Serikali ya awamu ya 5 iliwaachia kisa ni walipa kodi imekua ni kero mjini
 
Back
Top Bottom