Wanyenyekevu hushinda. (world cup rant)

Wanyenyekevu hushinda. (world cup rant)

Ronaldo delima anaheshima yake kwenye soka haiondoi upendeleo wa kibinadamu
Na romalio na zlatan and a lot of elite of football!? Be serious mapenzi hayapaswi kukupofusha

Btw Kuna ngoma yenu imeachiwa huko YouTube for cr7 fancy umeisikia 😄😄😄
 
CR7 na Messi , Pele na Maradona Hawa watu don't underated anyone ktk hii list


Ila Messi ni Alien .

Kwahiyo Top five Messi anakaa namba Moja
Sijui unaelewa !!? Ukienda kwenye page zote kubwa duniani huwezi kusikia kwamba Kuna mjadala unao mtaja cr7 kuingia hata kwenye top 3 ya wachezaji Bora wa muda wote na hiyo top 3 ndio Huwa inamtaja pele maradona na Messi

Yaani huwezi kumkuta Ronaldo at that level!?

Ronaldo ni mchezaji mzuri sipingi Hilo but hayupo kwenye top level ya Messi ni yeye na mashabiki zake ndio Huwa wana force hiyo debate but in reality Hayupo kwenye hiyo level kabisaaa !!!! Ukiondoa uwezo wa kufunga alionao cr7 Hana jingine ambacho kinaweza kum- beat Lionel Messi, lakini Messi ana vyote

Messi magoli best passers best assist best dribbling best Foul goals best of individual trophy, play Maker na mambo mengine kibao
 
Mimi Tena !!! Nikuletee video clip ya magwiji wakubwa wanapo muongelea Messi na cr7 halafu uone Messi wana muweka kwenye level ipi !?

View: https://youtube.com/shorts/Zf5N3m4DVpM?si=ttKwOn_wZuj87aYy
Mimi Tena !!! Nikuletee video clip ya magwiji wakubwa wanapo muongelea Messi na cr7 halafu uone Messi wana muweka kwenye level ipi !?
Mapenzi na hisia zimemtawala CR7 ana nafasi yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom