You're not serious 😁😁
Mfikie hatua muwe mnaukubali ukweli Messi ni Jini sio mtu yule
Nimetoka YouTube Leo nilikuwa nina tizama mahojiano ya Ronaldo delima akiwa na romalio kumbuka hao ni watu wenye experience wameuishi mpira Kwa kushiriki kuucheza wanajua hisabati zake na wanajua wanacho kifanya na kukuona nitofauti ya Mimi na wewe ambao ni mashabiki tu
Basi walikuwa wana ulizwa na Hosts Je ni yupo mchezaji Bora kati ya pele maradona na Messi
Ronaldo delima amesema wazi kabisa kwamba alipofikia Messi maradona na Pele it's very very hard to choose who's better
Huyo ni Ronaldo delima ndiye katamka maneno hayo gwiji wa soccer anaye heshimika duniani
Halafu wewe na wenzako mnakuja hapa kubisha tu kwamba eti cr7 is better , you dude Hivi unahisi hata unachokiwaza sawa sawa kweli !?
Maana kwanza ncheke 😄