'Wanyenyekevu' hapa vipi?

Du,
inatisha ndugu yangu- je hawa wanaopiga mijeledi ni wasafi? hawana dhambi wao?
Sharia bwana -zinatisha!

Kwani hawana adhabu nyingine- ni lazima mijeledi?
 
Hili swali ni muhimu..ila nadhani tusubiri wenye ilmu nalo watuhabarishe..

Ila mimi naombea hizi mahakama za kadhi zitakapokuja zisiishie kufanya kazi nusu-nusu za mirathi sijui ndoa, kwingine zisafishe pia..au? Inabidi zikomae na huku maana kuna 'wanyenyekevu' wako loose mno, wanapenda kufanya ibada nusunusu na kufuata sheria kwa kuchagua....
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtazamo wangu I dont think kuwa adhabu ya bakora anyopata jamaa ni sahihi. Adhabu kama hizo zilikuwa na maana wakati jamii zilikuwa duni, changa, hakuna movement za watu, hakuna mchanganyiko wa watu wa mataifa mbalimbali na wenye imani tofauti. Dunia sasa hivi ni kijiji. watu wanajifunza utamaduni wa aina aina kutoka sehemu mbalimbali za dunia. watu wanaiga mitindo mbalimbali na kdhaa wa kdhaa. Kwa hiyo kwanza wangeanzia na alikonunua au aliyempa pombe, je mwanamke yuko wapi? kunaweza kuwa na adhabu nyingi tu kama vile community service badala ya bakora. hizo mie naita ni adhabu primitive na hazina manufaa.
 
Kwa mtazamo wangu I dont think kuwa adhabu ya bakora anyopata jamaa ni sahihi.

Mtazamo wako ni mzuri. Adhabu ya bakora aliyoipata huyu nguli wa zin'a na kilevi imeainishwa ktk dini ya serikali yake. Kama ana shida na adhabu inabidi ipambane kwanza na dini na serikali yake.

Kwa hiyo kwanza wangeanzia na alikonunua au aliyempa pombe, je mwanamke yuko wapi? kunaweza kuwa na adhabu nyingi tu kama vile community service badala ya bakora. hizo mie naita ni adhabu primitive na hazina manufaa.

Mchango mzuri.
Tatizo langu ni hawa watu wa dini husika hususan huku kwetu Bongo -Dare-Salama . Huwa najiuliza kwanini wanakurupusha kutaka mahakama ya kadhi ishughulike tu na baadhi ya sheria za dini yao, lakini si sheria zote? Kama wakiacha unafiki nafikiri kila mtu atawaheshimu kama watu wenye uelewa na kuwasaidia kutekeleza azma yao ikibidi.

Mathalan, mimi nipo radhi na hii kazi ya kugawa 'hamza' 50 au 80 kwa wazinzi na walevi. I will do it free of charge with pleasure.
 
Hii adhabu ni ya kibaguzi kwasababu kama mhusika angekuwa mwanamke angestahili kupigwa mawe hadi mauti yamkute kwa kuzini.Wataalam wa sharia naomba mtuambie ni kwanini sharia inampendelea zaidi mwananume na kumkandamiza mwanamke.
 
kabla hujalitoa boriti kwenye jicho la mwenzio...angalia lako kwanza!
n pia ukipoint kidole kimoja kwa mwenzio kuw ani mdhambi,angalia vingapi vinakurudia!
na yeyote aliye so clean na asiye na dhambi aendelee kubisha lakini deep within yeye mwenyewe anajijua kuwa anabisha basi tu kuridhisha nafsi yake!
 
Tuwasubiri wenye Ilmu ya "hamza hamisi na selemani" walete burdani. Inawezekana kabisa jamaa alichukuwa kishtobe cha ustaadhi.
 
Mh jamaa hawana huruma,kama Mungu angekuwa na hasira hivyo dunia ingekuwa wazi,kungekuwa hakuna mtu.
 
Hii adhabu ni ya kibaguzi kwasababu kama mhusika angekuwa mwanamke angestahili kupigwa mawe hadi mauti yamkute kwa kuzini.Wataalam wa sharia naomba mtuambie ni kwanini sharia inampendelea zaidi mwananume na kumkandamiza mwanamke.

Sio kweli mkuu, sheria hii haina ubaguzi isipo kua umejichanganya kidogo. Sharia inasema hivi: Mzizi mme au Mke kama hajaowa au hajaolewa anachapwa bakora 80 nakama ameowa au ameolewa anapigwa mawe mpaka anakufa (Mwaname na Mwanamke hakuna tafauti) nadhani hii sheria imewasaidia wenzetu kuepuka hili janga la ukimwi kwa kiasi kikubwa
 
kabla hujalitoa boriti kwenye jicho la mwenzio...angalia lako kwanza!
n pia ukipoint kidole kimoja kwa mwenzio kuw ani mdhambi,angalia vingapi vinakurudia!
na yeyote aliye so clean na asiye na dhambi aendelee kubisha lakini deep within yeye mwenyewe anajijua kuwa anabisha basi tu kuridhisha nafsi yake!

Kwamaana hiyo unashauri magereza yetu tuyafunge ? na mafisadi wachiwe huru? kwa sababu hakuna Jaji au Proscuter alie clean kila mtu anamahambi yake. we bora baki tu kwenye mambo ya dini yako achana na siasa
 
Tutakapo jiunga na OIC wanyeyekevu wengi watakimbia dini

Ni vizuri tujiunge ili "Wakristo" waongezeke, ni rahisi......., yani unajiunga "Wanyenyekevu" wote wana ukana "unyenyekevu" na ndio mwisho wa OIC. Wazo zuri Mkuu sana.
 
Tutakapo jiunga na OIC wanyeyekevu wengi watakimbia dini

Mbarikiwa, hiyo ni ndoto ya mchana. Kwa mujibu wa Sharia kuukana Uislamu ni kosa la kuuwawa tena na ndugu zako wa kuzaliwa au wazazi! Yaani hao wanaikimbia hiyo dini wakati huo hawataweza au vinginvyo wakubali kufa; na hiyo ndo hofu kubwa ya Uislamu na Waislamu maana wanajua fika kuwa Waislamu wengi wamegundua ukweli na wanaikana imani sasa njia ya kupambana ni kuhalalisha tujiunge OIC, tuanzishe kadhi maana sheria ya sharia inakataza Waislamu kuikana imani yao.

Hujiulizi ni kwa nini hata hapo Zanzibar ni lazima kuvaa hijab wakati wa mwezi wa Ramadhani? Hujiulizi kwa nini hapo Zanzibar akanisa hayawekwi alama Msalaba? Hapo bado Zanzibar si nchi ya Kiisalmu, siku ikikubaliwa kuwa nchi ya Kiislamu itabidi makanisa yote yafungwe na ole wake mtu ahubiri Ukristo au aonekana ameshika Biblia! Ndo maana ili Uislamju uendelee na upate nguvu inabidi uunganishwe na dola vinginevyo hauna habari njema ya kuwavuta watu kwa Muhammad.

Hapo sasa.
 
....asante mkuu kwa kunipa sababu zaidi ya kukataa uislam au dini ya aina yeyote,nyie watu kaeni na midini yenu huko makanisani/misikitini kwenu,sijui kwanini mnataka kulazimisha kila mtu aishi kwa kufuata dini zenu...pls keep your God in your own fucking life and live us alone!
 
Okoka mara moja la sivyo nitahakikisha unaenda motoni
 
Mbarikiwa, hiyo ni ndoto ya mchana. Kwa mujibu wa Sharia kuukana Uislamu ni kosa la kuuwawa tena na ndugu zako wa kuzaliwa au wazazi! Yaani hao wanaikimbia hiyo dini wakati huo hawataweza au vinginvyo wakubali kufa; na hiyo ndo hofu kubwa ya Uislamu na Waislamu maana wanajua fika kuwa Waislamu wengi wamegundua ukweli na wanaikana imani sasa njia ya kupambana ni kuhalalisha tujiunge OIC, tuanzishe kadhi maana sheria ya sharia inakataza Waislamu kuikana imani yao.

Hujiulizi ni kwa nini hata hapo Zanzibar ni lazima kuvaa hijab wakati wa mwezi wa Ramadhani? Hujiulizi kwa nini hapo Zanzibar akanisa hayawekwi alama Msalaba? Hapo bado Zanzibar si nchi ya Kiisalmu, siku ikikubaliwa kuwa nchi ya Kiislamu itabidi makanisa yote yafungwe na ole wake mtu ahubiri Ukristo au aonekana ameshika Biblia! Ndo maana ili Uislamju uendelee na upate nguvu inabidi uunganishwe na dola vinginevyo hauna habari njema ya kuwavuta watu kwa Muhammad.

Hapo sasa.
Ama hakika una chuki za Ajabu....Wadangaye wenzako...!!! Hata hio DINI yako huijui kazi kuimba kwaya!!!
 
Back
Top Bottom