Wanyama wasitugombanishe...

Wanyama wasitugombanishe...

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Kuchinja!? Kuchinja mnyama ndio kusababishe nasi tupigane na tuuane? Kweli ndugu zangu watanzania? Siamini kabisa.Kwani kuna tofauti gani ya ladha ya mnyama aliyechinjwa na Mkristu au Muislamu? Kwani nguruwe wanaoliwa na baadhi ya wakristu huchinjwa na nani? Na wanyamapori je?

Ndugu zangu watanzania,umefika wakati wa kusisitiza uhuru wa kuabudu na mipaka yake. Imani yako,pamoja na unavyotakiwa kuvifanya kwa mujibu wa imani yako,usilazimishe kila mtu aifuate. Hata wakati wa Mtume Mohammad(S.A.W.) na hata Yesu Kristu,wapo waliowapinga na kutofautiana nao. Wao hawakulazimisha.Waliendelea kuwajenga waliowaamini na kuwafuata.Basi.

Kilichotokea Buselesele( au Buseresere) Geita hakivutii.Hakipendezi. Yaani watanzania tunaopendana kwa dhati na kuheshimiana tunapigana na kuuana kwa sababu ya kuchinja? Thamani ya wanyama tunaogombania kuwachinja haifanani na thamani yetu kama binaadamu.Thamani yetu ni kubwa mno kwa wanyama.Kubwa sana!

Tuzipende dini/imani zetu na tupendane pia...
 
Kuna wapuuzi wanaojifanya wao ndo watoto wa Mungu ndo chanzo cha yote haya, wamekuwa wanaachiwa wanajiona wao ndo kila kitu. Acha tutiane adabu kidogo ili heshima iwepo, hata Yesu aliwahi mwita Herode Mbweha baada ya kuzidisha USENGEnyaji kama huu wanaofanya hawa akina kidevu
 
Watu kama nyinyi ndio vishawishi wa kuvuuga amani katika nchi kwa kuona kwa jicho moja na sio kutumia macho yote mawili.Kama ulikuwa huna nasaha ya kupendeza na yenye amani zaidi bora ungenyamaza tu.Ni vizuri ujenge hoja yenye kulenga mada ambayo imeletwa kwa ajili ya amani na sio uchochezi.

Mimi sioni tatizo lipo wapi kwakweli silioni kabisa.Mimi naishi EU na kuna sehemu za machinjo za wakristo,waisilamu na hata za Juwish na bucha vile vile zipo za aina zote ni wewe mwenyewe wapi unapendelea kununua nyama iliyo chinjwa na yupi.Hii nchi ni kubwa sana maeneo yapo mengi tu ambayo yanaweza yakatengwa kwa ajili ya kuchinja nyama kwa dini tofauti.Kwahiyo serikali ndiyo inatakiwa ichukue hatua za haraka ili kuepusha machafuko haya.Miaka yote tumekaa kwa salama lakini wapo vidudu watu ndio wenye kujenga chuki.Na vidudu hawa wapo ktk dini zote mbili hizi na sio dini moja tu tusijifanye ndio wakweli kihivo lazima tuangalie kwa macho mawili hapa tusitumie jicho moja tafadhali.Mtu yeyote anaejifanya kwamba wanaoanza ni watu fulani hapo unakuwa ni unafik na sio ukweli.Na huu unafik huu ndio sumu kubwa inayoila nchi hii na bado watu hawaja-amka mpaka hapo watakapozinduka itakuwa "too little too late" :confused2::shut-mouth:
 
Ili mambo yaende nchi hii, inabidi kidogo tui-Rwanda ili heshima ianze na woga wa watu upungue au uishe kabisa.

Tumekuwa Makuku sana na kila tunaloambiwa tunakula mazima mazima.

Acha tufe kidogo maana mwisho wa siku tupo zaidi ya 40 milioni. Inauma ila ndiyo ukweli wenyewe.

Siku wakikianzisha Dar es salaam, hapo ndiyo itakuwa RAHA maana Respond ya viongozi na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya Tanzania itakuwa kubwa sana. Sasa hivi hao wa Geita hakuna atakayeandika kwenye gazeti zaidi ya Facebook, JF na baadhi ya media kwenye Mtandao.

HAKI HAIOMBWI ILA INADAIWA.
 
Mbona tuliandika sana kuwa haya yatatokea hivi karibuni? Wewe ulikuwa wapi na Serikali yako?

UKITAKA AMANI, JIANDAE NA VITA.
Watu kama nyinyi ndio vishawishi wa kuvuuga amani katika nchi kwa kuona kwa jicho moja na sio kutumia macho yote mawili.Kama ulikuwa huna nasaha ya kupendeza na yenye amani zaidi bora ungenyamaza tu.Ni vizuri ujenge hoja yenye kulenga mada ambayo imeletwa kwa ajili ya amani na sio uchochezi.

Mimi sioni tatizo lipo wapi kwakweli silioni kabisa.Mimi naishi EU na kuna sehemu za machinjo za wakristo,waisilamu na hata za Juwish na bucha vile vile zipo za aina zote ni wewe mwenyewe wapi unapendelea kununua nyama iliyo chinjwa na yupi.Hii nchi ni kubwa sana maeneo yapo mengi tu ambayo yanaweza yakatengwa kwa ajili ya kuchinja nyama kwa dini tofauti.Kwahiyo serikali ndiyo inatakiwa ichukue hatua za haraka ili kuepusha machafuko haya.Miaka yote tumekaa kwa salama lakini wapo vidudu watu ndio wenye kujenga chuki.Na vidudu hawa wapo ktk dini zote mbili hizi na sio dini moja tu tusijifanye ndio wakweli kihivo lazima tuangalie kwa macho mawili hapa tusitumie jicho moja tafadhali.Mtu yeyote anaejifanya kwamba wanaoanza ni watu fulani hapo unakuwa ni unafik na sio ukweli.Na huu unafik huu ndio sumu kubwa inayoila nchi hii na bado watu hawaja-amka mpaka hapo watakapozinduka itakuwa "too little too late" :confused2::shut-mouth:
 
Ndio mazara ya kuingiza siasa kila mahari. Yasinge fikia hapo kama siasa isinge ingizwa na waziri
 
kiukweli tunapoelekea pabaya sana na sisi tunaojifanya tunaona kwa jicho moja ndio matatizo yetu,hivi tatuoni ndugu zetu wanavyoteseka kwa vita?vita vya udini havina mshindi jamani,
 
Kuna dini nyingine asili yake ni fujo,na imethitika katka nchi kadhaa, kama nigeria,mali,yemen,tunisia etc.WANAFIKIRI WAKO SAWA KWA KILA JAMBO,WAO NI WATU WA KUNYANYASWA,WAO NI WATU WA KUONEWA,WAO NI WATU WA KUDHURUMIWA. Sasa wamepata rais wa kuwachekea na sasa wanaonyesha sehemu ya kumalizia hasira zao halafu waje waseme ni wahuni tu ndo wamefanya hayo.loh!
 
Mbona tuliandika sana kuwa haya yatatokea hivi karibuni? Wewe ulikuwa wapi na Serikali yako?

UKITAKA AMANI, JIANDAE NA VITA.

Sipo tayari na vita na hata nikichochea vita nitakuwa siwatendei haki watanzania wote kwa ujumla kwani sina ubaguzi wa rangi wala dini kwasababu sivo nilivofunzwa ktk dini wala wazazi wangu.Na siwezi nikachochea vita wakati mimi mwenyewe sipo ndani ya nchi hilo pia litakuwa ni kosa kubwa sana kwa kutowatendea haki watanzania wenzangu.Jambo kutokea linaweza kutokea hata kama uliandika wewe mwenyewe kwa mkono wako ama ulitamka kwa mdomo wako lakini vipi kuepusha tatizo na sio kuchochea.Hapa mimi ninachokiona ni nchi kugawanyika siku zinazo kuja.Kwa wale wapenda amani tumuombe mungu sana ili amani itumike.
 
Hapa lazima kuchapana kwanza maana hawa wenzentu wanataka kututawala hata nyama ya kula,kichapo kwanza heshima baadaye
 
Kila wakati nimekuwa nikijizuia kujadili kuhusu dini, lakini hii imenisikitisha sana. sijui tunaelekea wapi? vita ya dini huwa havina mshindi
 
Upo upande wetu au wao? Baibo haitaki watu wanafiki na vuguvugu.

Kwa maana nyingine ulitaka wakristu waendelee kulishwa makafara?
 
ndugu zangu, hizi zote ni dalili za watu kuonyesha kuchoshwa na sera mazoea za ccm, zisoleta mabadiliko dumu daima,,
 
Kama haupo tayari na vita basi hutaki amani. SUBIRI WAJE WAKUCHINJE kama Kuku.

Si vis pacem, para bellum <=> If you wish for peace, prepare for war.

Sipo tayari na vita na hata nikichochea vita nitakuwa siwatendei haki watanzania wote kwa ujumla kwani sina ubaguzi wa rangi wala dini kwasababu sivo nilivofunzwa ktk dini wala wazazi wangu.Na siwezi nikachochea vita wakati mimi mwenyewe sipo ndani ya nchi hilo pia litakuwa ni kosa kubwa sana kwa kutowatendea haki watanzania wenzangu.Jambo kutokea linaweza kutokea hata kama uliandika wewe mwenyewe kwa mkono wako ama ulitamka kwa mdomo wako lakini vipi kuepusha tatizo na sio kuchochea.Hapa mimi ninachokiona ni nchi kugawanyika siku zinazo kuja.Kwa wale wapenda amani tumuombe mungu sana ili amani itumike.
 
upo upande wetu au wao? Baibo haitaki watu wanafiki na vuguvugu.

Kwa maana nyingine ulitaka wakristu waendelee kulishwa makafara?

kaka jambazi hata wewe umeingia huko, ni mala ngapi tumekula nyama hizo leo ndo tujifanye hatutaki!
Tuishi kwa amani na kuvumiliana na waislam mkubali kuwa tunawavumilia kwa yoote haya!
 
mbona tuliandika sana kuwa haya yatatokea hivi karibuni? Wewe ulikuwa wapi na serikali yako?

Ukitaka amani, jiandae na vita.
mkuu nawewe usifikie huko bwana kwenye kutaka vita kumbuka kanuni za ukristo
 
kaka jambazi hata wewe umeingia huko, ni mala ngapi tumekula nyama hizo leo ndo tujifanye hatutaki!
Tuishi kwa amani na kuvumiliana na waislam mkubali kuwa tunawavumilia kwa yoote haya!

Kwa iyo tuendelee kula makafara ya wenzetu kwa hicho unachoita uvumilivu na amani?
Je kama tunazidi kuwa matahira kwa kuendelea kula hayo majini, tuvumilie mpaka lini?

Kutenda kosa sio kosa, bali kurudia kosa.

Kazi ya biblia ni nini sasa kama sio kuwafunulia waamini kutambua ukweli?
 
Kuchinja!? Kuchinja mnyama ndio kusababishe nasi tupigane na tuuane? Kweli ndugu zangu watanzania? Siamini kabisa.Kwani kuna tofauti gani ya ladha ya mnyama aliyechinjwa na Mkristu au Muislamu? Kwani nguruwe wanaoliwa na baadhi ya wakristu huchinjwa na nani? Na wanyamapori je?

Ndugu zangu watanzania,umefika wakati wa kusisitiza uhuru wa kuabudu na mipaka yake. Imani yako,pamoja na unavyotakiwa kuvifanya kwa mujibu wa imani yako,usilazimishe kila mtu aifuate. Hata wakati wa Mtume Mohammad(S.A.W.) na hata Yesu Kristu,wapo waliowapinga na kutofautiana nao. Wao hawakulazimisha.Waliendelea kuwajenga waliowaamini na kuwafuata.Basi.

Kilichotokea Buselesele( au Buseresere) Geita hakivutii.Hakipendezi. Yaani watanzania tunaopendana kwa dhati na kuheshimiana tunapigana na kuuana kwa sababu ya kuchinja? Thamani ya wanyama tunaogombania kuwachinja haifanani na thamani yetu kama binaadamu.Thamani yetu ni kubwa mno kwa wanyama.Kubwa sana!

Tuzipende dini/imani zetu na tupendane pia...
kunachotakiwa ni serikali kuakikisha kunakuwa na mapucha ya waislam na mapucha ya wakristo,na machinchio ya waislam na machinchio ya wakristo,lakini kwa ugumu wa mioyo ya viongozi wa serlkali hii ya ccm watajifanya hawaoni mpaka watu wauwane
 
Hivi kwenye harusi huwa tunatangaziwa aliyechinja wanyama? Na supermarket je? Hizi kelele zote ni za watu wanaonunua nyama magengeni. Waislam safi kama hawa (ambao hununua vitoweo vyao supermarkets), hawawezi kugombania nani kachinja:

1. Dr. Jakaya Kikwete
2. Prof. Juma Kapuya
3. Dr. Shukuru Kawambwa
4. Dr. Hussein Mwinyi
5. Dr. Asha-rose Mtengeti-Cleophace Migiro
6. (Dr) Syrose Bhanji
7. Dr. Dau Ramadhani
8.(Dr) Zakhia Meghji
9. (Dr) Hassan Ngwilizi
10. (Dr) Zuberi Mtemvu
11. (Dr) N.k

Njaa kali ndio tunagombana juu ya nani amechinja.
 
Nani kakudanganya?Umaskini ndo unauita amani?
Watu kama nyinyi ndio vishawishi wa kuvuuga amani katika nchi kwa kuona kwa jicho moja na sio kutumia macho yote mawili.Kama ulikuwa huna nasaha ya kupendeza na yenye amani zaidi bora ungenyamaza tu.Ni vizuri ujenge hoja yenye kulenga mada ambayo imeletwa kwa ajili ya amani na sio uchochezi.

Mimi sioni tatizo lipo wapi kwakweli silioni kabisa.Mimi naishi EU na kuna sehemu za machinjo za wakristo,waisilamu na hata za Juwish na bucha vile vile zipo za aina zote ni wewe mwenyewe wapi unapendelea kununua nyama iliyo chinjwa na yupi.Hii nchi ni kubwa sana maeneo yapo mengi tu ambayo yanaweza yakatengwa kwa ajili ya kuchinja nyama kwa dini tofauti.Kwahiyo serikali ndiyo inatakiwa ichukue hatua za haraka ili kuepusha machafuko haya.Miaka yote tumekaa kwa salama lakini wapo vidudu watu ndio wenye kujenga chuki.Na vidudu hawa wapo ktk dini zote mbili hizi na sio dini moja tu tusijifanye ndio wakweli kihivo lazima tuangalie kwa macho mawili hapa tusitumie jicho moja tafadhali.Mtu yeyote anaejifanya kwamba wanaoanza ni watu fulani hapo unakuwa ni unafik na sio ukweli.Na huu unafik huu ndio sumu kubwa inayoila nchi hii na bado watu hawaja-amka mpaka hapo watakapozinduka itakuwa "too little too late" :confused2::shut-mouth:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom