mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,767
- 1,068
Hakika, kwani hoja ya kuwa nani kachinja ni ya kipumbavu.
Hivi kwenye harusi huwa tunatangaziwa aliyechinja wanyama? Na supermarket je? Hizi kelele zote ni za watu wanaonunua nyama magengeni. Waislam safi kama hawa (ambao hununua vitoweo vyao supermarkets), hawawezi kugombania nani kachinja:
1. Dr. Jakaya Kikwete
2. Prof. Juma Kapuya
3. Dr. Shukuru Kawambwa
4. Dr. Hussein Mwinyi
5. Dr. Asha-rose Mtengeti-Cleophace Migiro
6. (Dr) Syrose Bhanji
7. Dr. Dau Ramadhani
8.(Dr) Zakhia Meghji
9. (Dr) Hassan Ngwilizi
10. (Dr) Zuberi Mtemvu
11. (Dr) N.k
Njaa kali ndio tunagombana juu ya nani amechinja.