Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,214
- 866,482
FisiMi nawakubali sana Mbwa mwitu. Au African wild dogs/ Lycaon Pictus. Hawa jamaa napenda jinsi walivyokuwa organized na uwindaji wao.
Kawaida yao wanakula mnyama bado akiwa hai. Wanyama gani au ndege unawakubali na kuwapenda sana?
View attachment 977451