Wanyakyusa wanapeana michongo Facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanyakyusa wanapeana michongo Facebook

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nazjaz, Dec 6, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Nimeona kuna groups za Wanyakyusa kwenye Facebook.
  Huko wanapeana habari za nafasi za kazi na nafasi za scholarship nje ya nchi.
  Hili kwa kweli ni jambo jema, natamani na sisi kabila letu lingekuwa na umoja hkama Wanyakyusa hakika tungekuwa mbali, maana kabila letu ndilo lenye watu wengi zaidi Tanzania.
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Haahaaa! Afadhali hao wanaotumia muda kuangalia wapi wakuse wapate maendeleo. Mi kabila letu tunapiga hadithi tu halafu tunategemea mambo yatakuwa mazuri kwa miujiza.
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  mi kabila langu mtanzania!
   
 4. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mie mnanihiii.....karibu tuungane Nazjaz najua kabila langu na lako yanashabihiana,
   
 5. T

  The_Analyst JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 214
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Napitaa........
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  waenda wapi?
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  we Mmasai?
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Wote wanaoendesha mambo kikabila tunapaswa kuwakemea kwa nguvu zote.
   
 9. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Kama si Mkazi wa msoga wewe nna mashaka!!
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,062
  Likes Received: 6,514
  Trophy Points: 280
  wakati tunachangia wanawake wa kinyakyusa nilisema wana 'ukabila'
  lakini mkataka kuniparua,
  sasa yamekuwa hayo tena.
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Utakuwa MKW'ERE wewe
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  mwakalindile
  mwaikasu
  mwambingu
  mwakasege
  mwamtobe
  mwaipopo
  mwasapila
  mwaikusa

  ......
   
 13. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Naona wameamua kujipanga baada ya majembe yao mawili makubwa (Dr na Prof) kuwa tabaani. Anyway Waberoya atajaza nafasi ya Dr Mwakyembe ingawa naona pia misimamo yao haiendi sawa, na hawaelewani
   
 14. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280

  Sisi wakweree na waislam hatuna shida kwani ndugu yetu magogoni kisha weka sera kuwa kazi zikionekana tupewe sisi kwanza; hakuna kuhangaika mambo poa mpaka 2015!!
   
 15. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mwakajumilo,
  Mwabukusi,
  Mwakalinga,
  Mwaibabile
  Mwakyembe
  Mwandosya, mwalyosi, Mwakalindile,Mwakajumba, Mwampondele, Mwakalobo,Mwakyusa,Mwakasungura,Mwaihubi,Mwakipesile
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Anangisye , Anyelwisye , Ambilikile , Asangalwisye , Ambindwile...........
   
 17. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  mi mbondei, lakini niko kwenye group inaitwa Proud Nyakyusa, hamna cha ukabila wala nini. Na kujiunga na group hiyo hamna fomu ya kujaza wala hamna chochote, just click "like" tayari unakuwa memba.
   
 18. G

  Gread godwin Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mwakilembe,mwalusepo,mwangolombe,mwakipuga,mwakibete,mwalilino ha ha ha wanyakyusa noma!
   
 19. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Mimi mbona Naitwa Nasra Mohamed na wala sio Mwamohamed, msipindishe ukweli
   
 20. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Sisi tunayo pia ya kwetu kama niwa Dom nenda The Classic Dodoma kuna mambo mengi tunaambiana hapo
   
Loading...