Wanyakyusa wanapeana michongo Facebook

Wanyakyusa wanapeana michongo Facebook

Hatuna ukabila siye tunawapenda wote na tunashirikiana na kila m2 kwa cc sote ni watanzania uwe mmasai mchaga mpare it doesn't matter
 
Sisi tunayo pia ya kwetu kama niwa Dom nenda The Classic Dodoma kuna mambo mengi tunaambiana hapo

mie la kwangu wanaongea sana kilugha naambulia patupu... ngoja nihamie ilo lenu
 
mwamakula,mwaibhabele,mwaifwani,mwamsiku,mwaikambo......!hadi raha mi naweka wazi kabila langu mi nimnyakyusa pia.
 
Back
Top Bottom