Wanu Ameir: Wahitimu jikiteni katika kujiajiri

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ambapo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wahitimu.

Amesema kuwa wahitimu wanapaswa kutumia kikamilifu maarifa, ujuzi na ubunifu walioupata wakati wa masomo yao ili kujenga fursa za ajira, badala ya kuendelea kusubiri kuajiriwa katika sekta ya umma.

Aidha amebainisha kuwa kupitia sera, mipango na programu mbalimbali, Serikali inalenga kuwawezesha wahitimu kutumia elimu yao katika kuanzisha miradi na biashara endelevu itakayosaidia kupunguza tatizo la ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi
nchini.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ambapo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wahitimu.

Amesema kuwa wahitimu wanapaswa kutumia kikamilifu maarifa,
ujuzi na ubunifu walioupata wakati wa masomo yao ili kujenga fursa
za ajira, badala ya kuendelea kusubiri kuajiriwa katika sekta ya umma.

Aidha amebainisha kuwa kupitia sera, mipango na programu mbalimbali, serikali inalenga kuwawezesha wahitimu kutumia elimu yao katika kuanzisha miradi na biashara endelevu itakayosaidia kupunguza tatizo la ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi
nchini.
Serikali ni.mali ya mtandao ndiyo maana yake na yeye ni mmoja wa wanamtandao
 
Screenshot_20251206-212941.jpg
 
Popote mtakapokuwa hakikisheni mnajiendeleza katika taaluma zenu ili kwenda sambamba na mabadiliko mbalimbali ya teknolojia yanayotokea duniani

Keep scoring Wanu
 
Kashaanza kufukia makaburi kizimkazi?
 
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ambapo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wahitimu.

Amesema kuwa wahitimu wanapaswa kutumia kikamilifu maarifa,
ujuzi na ubunifu walioupata wakati wa masomo yao ili kujenga fursa
za ajira, badala ya kuendelea kusubiri kuajiriwa katika sekta ya umma.

Aidha amebainisha kuwa kupitia sera, mipango na programu mbalimbali, serikali inalenga kuwawezesha wahitimu kutumia elimu yao katika kuanzisha miradi na biashara endelevu itakayosaidia kupunguza tatizo la ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi
nchini.
Yeye mbona hajajiajiri, stupid.
 
A bitch begets a bitch!
 
"Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi, ili vijana wajiajiri" Anaongea tu ili mradi liende, hotuba yenyewe, yakuandikiwa, haya, maneno niliyasikia 2009 wakati natoka DIT,hayana maana yoyote,ni upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom