Wanasheria nchi Kenya wanojipanga kuomba shauri la mtekaji wa dk Ulimboka kuamishiwa nchini kenya.
. Hii ni kuamini kuwa Haki ya mteja wao aitatendeka kutokana na political pressure. :israel:
Kukwama ukwamani..!!Kova Ukovani Unyama Unyamani
kova ni muongo. huyo jamaa sii mkenya ni mtanzania waliyemtengeneza katika hali ya kawaida kama mtu alikwishafanya mambo kama hayo ni kwanini akajisalimishe kanisani ilihali ni kazi yake? huu ni uwongo watanzania tunadanganywa.
Hatudanganyikiiiiiiiii!......Shame on them magamba hawa!
RAIA wa Kenya, Joshua Mulundi (21) amekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam na kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Steven Ulimboka
Hivi vyote vimekuwa engineered,
Liwalo na liwe.Kova Ukovani Unyama Unyamani