commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Hivi ni kwa nini wampandishe kizimbani bila ya kufanyiwa gwaride la utambulisho na mlalamikaji ambaye bado yuko mahututi south afrika,[h=6]RAIA wa Kenya, Joshua Mulundi (21) amekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam na kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Steven Ulimboka[/h]
Hapa serikali bado inazidi kujichanganya tu,