Wansheri kenya, kuomba mshitakiwa wa kunyanyasa dr ulimboka.kushitakiwa mahakama za kenya

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Wanasheria nchi Kenya wanojipanga kuomba shauri la mtekaji wa dk Ulimboka kuamishiwa nchini kenya.
. Hii ni kuamini kuwa Haki ya mteja wao aitatendeka kutokana na political pressure. :israel:
 
Wanasheria nchi Kenya wanojipanga kuomba shauri la mtekaji wa dk Ulimboka kuamishiwa nchini kenya.
. Hii ni kuamini kuwa Haki ya mteja wao aitatendeka kutokana na political pressure. :israel:

Ungeweka any supporting evidence to justify your argument. Otherwise, this is too vague to appear HERE.
 
kova ni muongo. huyo jamaa sii mkenya ni mtanzania waliyemtengeneza katika hali ya kawaida kama mtu alikwishafanya mambo kama hayo ni kwanini akajisalimishe kanisani ilihali ni kazi yake? huu ni uwongo watanzania tunadanganywa.
 
Hatudanganyikiiiiiiiii!......Shame on them magamba hawa!
 
Hatudanganyikiiiiiiiii!......Shame on them magamba hawa!

[h=6]RAIA wa Kenya, Joshua Mulundi (21) amekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam na kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Steven Ulimboka[/h]
 
RAIA wa Kenya, Joshua Mulundi (21) amekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam na kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Steven Ulimboka

Jana nilimsikia Kova akisema ana 31!
 
Yale yale ya kuhamisha wafungwa kutoka sehemu mbali mbali baadae wanaonyeshwa kwenye TV hawa ndiyo maajambazi yaliyovamia NMB na kuiba kiasi cha milion 50. Kumbe si wafungwa wala si majambazi ni mahabusu, wala zile pesa zilizokombwa siyo milion 50 ni zaidi ya Bilion moja.
Sasa ramani zimechorwa kwa kuona watanzania kwenye dini ndo wenyewe! ukisema kajisalimisha mwenyewe kanisani basi utasikia, Mungu ni mkubwa kampa maono na kutubu mbele ya mchungaji.
 
Bonge la movie. Tatizo screenwriter, director na actor wote hawana ujuzi ndiyo maana movie lao halina msisimko kabisa.
 
Small brains which has caused the scene is trying to clear it. It is impossible. Am having a feeling Kova is approaching a disgraceful end Zombe style.
 
Kova has lost his efficiency and objectivity.

Hii ni hatari ngoja tutasikia kesho,habari yake.

Jamaa wasanii kweli hawa.uwongo wa style hii hauvumiliki.
 
Serikali ya Kenya haiwezi kujiingiza kijinga kwenye jambo hili feki, hakuna kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom