Wanjera, nothing special

Wanjera, nothing special

Hapo kinachofuatwa ni kama baadhi ya wachangiaji walivyosema, ukifanya kazi na directors wa bondeni ni rahisi kazi zako kuonekana kwenye channels kubwa coz mtu kama Godfather ashaaminika huko kwamba kazi zake ni za viwango. Bongo nowdays tunajitahidi pia, tungekuwa na mkono huko kuna baadhi ya kazi zinaviwango kabisa ya kuchezwa kwenye tv kubwa, mfano PACHA WANGU ya MAVOCO iliyotengenezwa na AJ ni video nzuri sana,inastahili kuchezwa tv yoyote

Hiyo video ina quality sababu Adam alikodi camera za huko na vifaa vingine...Angetumia ile camera yake lazima ungelalamika kiza.
 
Kukarlili ndio shida yake mi cupend ule wimbo?????
 
Suala hapa ni project, wanjera ilikuwa by the way tu!

what project?/

Maana kusema kweli wanjera is not a song that you can watch twice... it is a very bad video, haiendani na mwimbo kabisa
 
Hiyo video ina quality sababu Adam alikodi camera za huko na vifaa vingine...Angetumia ile camera yake lazima ungelalamika kiza.

Lakini ukweli unabaki palepale kwamba video ni nzuri, whether alikodi camera au nini hayo ni ya badae
 
Idriss ndio amewa outshine wooote kwenye ile video. Na wabongo wapunguze kukenua kwenye music videos aisee. Mijitu inakenua mwanzo mwisho instead of playing there parts.
 
Dah huyu jamaa dimpoz ukute ndo video ghali kuliko zote alafu haijawa powa kihiiiiivo, wasanii wawe strategic soko lenu kubwa lipo bongo otherwise imbeni kiingereza kama lengo ni kuvuka boda
 
Back
Top Bottom