TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,827
- 2,027
Kuna hili wimbi la wasanii kwenda South Africa kufanya shooting za nyimbo zao,Binafsi sijaona ubora wowote wa video ya Ommy dimpoz na Wanjera yake, nilidhani kufunga safari all the way to South africa tungepata something new, ila sijaona...kwa jinsi ilivyo, nafuu tu hiyo video ingefanyiwa shooting hapa Bongo, angeserve gharama za kusafri hadi huko south Africa.Halafu hata maudhui yake sijaelewa, aliyeelewa anisaidie, may be am a slow observer.
Kweli kwenda south kipoteza hela tu na show off isiyo na tija ili ionekane wameshutia video ila quality ya video sio nzuri in terms of colour ila idea ya video ni nzuri bora wawe wana shoot hapa nyumbani mana hadi beat ni za south inafanya bongo fleva kukosa ladha yake na kutoka tofauti ana na south inafanya mziki wetu usitambulike kima taifa