Kuna hili wimbi la wasanii kwenda South Africa kufanya shooting za nyimbo zao. Binafsi sijaona ubora wowote wa video ya Ommy dimpoz na Wanjera yake, nilidhani kufunga safari all the way to South Africa tungepata something new, ila sijaona...
Kwa jinsi ilivyo, nafuu tu hiyo video ingefanyiwa shooting hapa Bongo, angeserve gharama za kusafri hadi huko south Africa. Halafu hata maudhui yake sijaelewa, aliyeelewa anisaidie, may be am a slow observer.