Wangoni tunawapenda wake zetu hasa linapozama jua!!

Wangoni tunawapenda wake zetu hasa linapozama jua!!

Wangoni toka enzi walikiwa wanaletwa uheheni kuolewa, ni wavumilivu hawa watani balaa
 
we hupendi!! Hzo mambo haznaga kabila!!

kufanya mapenzi kwa kila mtu aliye kamili ni haki yake anaweza kushiriki tendo la ndoa muda wowote lakini kwa upande wenu imekuwa desturi kwamba Jua likizama hakuna kitu kingine cha kufikiria zaidi ya mapenzi...Pole Deo Corleone kwa kufuata mila za zamani ati we unaita sifa ya watu wa kabila la wangoni.

Wanawake wa kingoni kwa viuno ni balaa ndo mana kagiza kakiingia ndo upendo unaongezeka.
Wimbo wa kujisifia kukatika unaimbwa hivi "mmeka meka na maunu ginu *2,ngati nibweli nene ,mwanja muwoni honi mwamwevene""

Ndio maana mnafikiria kufanyana tu.
 
Last edited by a moderator:
Bambu Deo ahsante kwa kuwafahamisha raia jinsi sis wangoni tunavyowapenda wake zetu.
 
dedication to all ladies in jf!!

goodnight ladies!

good-night-my-love.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom